Tabia Nane za watu wapole

Mi binafsi sipendi mume /rafiki au mtu yeyote anayehusika na Mimi awe mpole!

Ni aina ya binadamu wanafiki mnoo na anaweza hata kukupoteza ktk huu uso wa dunia na usiamini

Mi napenda watu mapepe/ micharuko maana ni rahisi kumgundua nyanja zote
 
Hawezi kukubadilikia bila sababu, ulivoelezea ni km awali wewe ulimhesabu km ni boya na inaelekea ulimburuza mahali ndo maana alikugeuka ili ajiokoe. Mjusi ukimfukuza saaana anageuka kuwa nyoka.
 
hiyo namba 2 na yenyewe ni tabia??
 
Atakulipa tu huyo vumilia
 

mfano mzuri ni Prof Mwandosya
 
Alikuwa mpole au mkimya?
 
Ila ujasema za upande wa pili,...
Hizi ndio sifa za watu wakimya:
1. Sio wacheshi
2. Wana kiburi
3. Sio rahisi kukubali kosa alilo fanya
4. Ni watu waku jitenga
5. Hawapendi uguse vitu vyao
6. Ni wazuri kwa u spy / upepelezi
7. Ni watu waku jiweka local sana hata kama fedha ipo
8. Hawana muda sana wanawake.
 
Mi binafsi sipendi mume /rafiki au mtu yeyote anayehusika na Mimi awe mpole!

Ni aina ya binadamu wanafiki mnoo na anaweza hata kukupoteza ktk huu uso wa dunia na usiamini

Mi napenda watu mapepe/ micharuko maana ni rahisi kumgundua nyanja zote
Nyie mnachanganya upole na ukimya,mkiona mtu sio muongeaji sana basi mnamwita mpole kumbe hana sifa za upole.

Mfano mie natambulika kwa upole ila wengine wanakataa kuwa mie sio mpole kisa tu naongea sana nikiwa na watu ninaofahamiana nao na sio mkimya mkimya.
 
Ebwanae upo vizuri sana mkuu,

Yani hapo umemwaga upupu kwelikweli maana kwa data zote hizo umeuona ukalimu wangu jinsi ulivyo.

Big up ...
 
ukimya una faida kama kupata nafasi ya kutafakari mambo yako bila bughuza,kuepuka kugombana na watu,lakin pia inaepusha watu kukujua undani wako so hauwapi nafasi ya kuku jua but hasara kubwa ni pamoja na kukosa marafiki kwa wakati,watu kukuona lof.a,watu kukuona ant-social,kuna hatari ya kufanya maamuz magumu na ya kutisha ambayo yanweza kukuletea shida maishani.
 
Sasa ngoja nikueleweshe kitu kimoja ukielewe...

Ukimya na upole ni vitu tofauti but almost vinaenda sambamba

Mtu mpole mara nyingi anakuwa mkimya, huwezi kuta mtu mpole hapohapo akawa muongeaji ni very rare sana

Sasa kwangu mimi kivyovyote vile ukiwa mpole or mkimya sikupendi, coz nina experience ni watu washenzi sana ktk hii dunia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…