jockey emmanuel
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 330
- 50
lack of motivation.pia ni wachache wasio na maadili au haiba.mwalimu ni lazima awe roll model kama nimekosea spelling pouwa tu ila ujumbe umefika.
Yah, ni ngonjera ya kichwa maji lakini ina mashiko. Suala la jumla walimu tuna maadili tena tumeyashika sana . Tatizo hali ngumu ya kipato inafanya nishindwe kutongoza mabinti saizi yetu ambao ni matawi ya juu, hivyo tunaishia kula vya madhabahuni yaani wanafunzi. Dada zetu walimu hawatutaki walimu wenzao ila wanaruka na wenye fuba kubwa. Tuboresheeni kipato mambo yatakuwa safi.
nasema nanyi walimu,mnaoniangalia
matendo yenu ya sumu,mi' nimeshayasikia
bado hamjanipata?nimetumia tungo tata?
kweli kupanda mchongoma,na kushuka ndio ngoima
ninapatwa na uchungu,nikiwacheki walimu
napata kizunguzungu,matendo yenu ya sumu
twapigania haki zenu,mnazima ndoto zetu
tunatetea uhuru wenu,mnaharibu future zetu
mnatoka na wanafunzi,mnawa-dump ka' magunzi
mwawapa mimba wanafunzi,mnakana.....
je,ni upungufu wa mishahara,..am,a ukosefu wa nyumba za walimu...unaosababisha haya?
si mijini,si vijijini...si kayumba,si private...maticha wamekuwa too much!:sad: