ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,280
- 15,315
Kutupa boksi uswahili? Yani inamaana haujui concept ya recycling ilivyo muhimu kwenye civilization?
Kuandika implausibilities ni uswahili pia3. Kuandaa bajeti kubwa ya harusi ilihali hauna hela unategemea michango huo ni uswahili wa mitaroni kabisa.
4. Kukataa kusaidia ndugu yako kafaulu shule huo ni uswahili wa kijinga zaidi.
Kuishi karibu na mpemba ni uswahili wa kupitiliza. Wapemba wote ispokua mmoja tu wanakaa uswahilini.Kufunga taulo kiunoni asubuhi huku unapiga mswaki hadi Dukani kwa mpemba.
Akupe wewe ???Umechinja kuku eti unatupa miguu na utumbo...Huo ni uswahili
Kha!kha!kha!khaaa!!!.Kununua vikombe vipya na sahani afu unaweka kabatini eti utavitumia wageni wakija huo ni uswahili asee
Tabia hizi zikifanywa na mtu znayeishi Brazil au India na Marekani, pia zitahusishwa na Kiswahili?Kuna baadhi ya tabia ambazo unapaswa kuziepuka, mfano
Nguo haikitoshi, imekupungua unaendelea kua nayo huo ni ushwahili, wape madogo au watu ambao zinawatosha.
Mkebe umeisha labda nyama ya kopo, unaendelea kuutunza eti utaweka chumvi huo ni uswahili.
Kiatu kimekupungua unaendelea kukitunza huo pia ni uswahili.
Unanunua tv mpya, lile box lake unaweka chini ya kitanda huo ni uswahili, unatakiwa utupe.
Taja tabia nyingine za kiswahili ambazo watu wanatakiwa kuziacha
Hahahaha mkuu nimecheka mwanamayi.Mkuu ushanisema hadharan kwamba nimetoroka uyole mbeya eh?
Umechinja kuku eti unatupa miguu na utumbo...Huo ni uswahili
usipo vitupa ukavipika huo ni uswahili wa dar na pwaniUmechinja kuku eti unatupa miguu na utumbo...Huo ni uswahili