InvisibleTarget
JF-Expert Member
- Dec 20, 2014
- 1,126
- 2,122
astaghafilulahi, hii picha ulikuwa ume-save.???
View attachment 2503718
Special grupu
View attachment 2503718
Special grupu
No, kwenye mtandao zipo.astaghafilulahi, hii picha ulikuwa ume-save.???
💯Huu utandawazi unawaharibu sana vijana wa kiume kuliko wa kike
Mzee mwenzangu mrangi hii picha umeitoa wapi, hii laana kabisa
Unapenda upaja wa mwanaume auone....Lizzy unapenda kuona vibukta kwani
Aibu sanahuwa unajisikiaje kukuta mwanaume mnene amevaa skinny jeans imembana kiasi tutako tunang'ong'a watu njian???????
Kumbe na wanaume wanamiguu ya bia? Mie nilijua wanawake tuwadada kuwajazaga ujinga utasikia "una mguu wa bia"
Hao hao wa Dar wametokea huko huko mikoani amefika Dar wamekuwa wajuaji kuzidi hata wenye Dar yao.Hivi vijamaa vya Dar na vyenyewe vinatuchanganya tu.
Na mayeno mkuu.Mbona mlegezo sioni ukilaaniwa?
Halafu wakioa ndiyo wakwanza kulalamika wake zao sio waaminifu, kumbe huko ndani ni tia maji tia maji
Tena unakuta anapost adi breakfast aliyokula asubui,alafu kuna wanawake anawapost anawaita bff
Adi najiuliza na wanaume nao kumbe wana bff's?
Vinavuka magoti,au havivuki magoti?Mwanaume kuvaa vibukta vinavuka magoti ni tatizo lingine. unataka nani aone mapaja yako?
Ujue Mwachiluwi sikusomii mbona unawasaliti ndugu zetu wa mwambao wa pwani.
havivuki.Vinavuka magoti,au havivuki magoti?
kwa kweli mkuu.Aibu sana
hahaha,Kumbe na wanaume wanamiguu ya bia? Mie nilijua wanawake tu
Wapo Mkoani dar ,, ila Mkoani Tarime huwezi kuona hivyo..Kwamba mikoani hawapo?
wenye deliboro kubwa ukikaa uchelewi kumwaga radhi na huto tu boxer 😅😅😅😅Unapenda upaja wa mwanaume auone....
Nitakuwa nakavaa usiku kwenye gari 😌😌 auUtavaa lakini??? Au ndo mpaka uwe na uhakika mzabzab hatokuona?🤔🤔