Tabia hizi za vinyozi wa nywele zinakera

faru john junior

JF-Expert Member
Dec 26, 2016
1,545
2,000
Nianze kwa kusema tu kuwa sio vinyozi wote
Utakuta emeenda kunyoa huu kinyozi amesha kufunga kitambaa kwa ajili kuzuia kuchafuliwa na nywele amesha Washa mashine mara sim yake inaita badala amwbie aliyempgia sim asubiri yuko na mteja matokeo yake unaye nyolewa ndo unaambiwa subiri kuna mtu niongee naye sasa shangaa wanayopngea yote yanahusu demu aliyekuwa naye jana na jinsi gani walivyo spend hela kibaya zaidi ni mtu na mke wake na watoto ila anavyo mpamba mchepuko utashangaa Hapa hoja yngu ya msngi ni je ninayenyolewa na aliyepga sim nan anapaswa kusubiri hasa baada ya kupokea sim na kujua aliyepga sim ana hoja gan ya kumweleza?naomben mawzo yenu
 

Kalamu Yangu

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
1,031
2,000
Aisee nimetoka kunyoa nimenuna mbaya yaani saa moja na nusu ananyoa kichwa changu kidogo kama ngumi ya Chidy Benzy... yaani anachoongea simuni ni upuuzi mtupu kama vile ananinyoa bure... Nimeamua kuwa ras kuanzia leo ila siachi supu na mishikaki
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom