Tabia hizi kwa mwanamke mnazichukuliaje?

Siande

Senior Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
194
Reaction score
58
Wanajamvi hi kwenu wote! Hii ni tabia ambayo nimeiona kwenye ofisi fulani eti unakuta mwanadada ambaye hujaolewa lakini unakuwa mchangamfu kupindukia ofisini na kukumbatia watu ovyo hata waume za watu na pia unakuwa na tabia ya kupenda kusifia waume za watu kwa kuwaambia wake zao eti mume wako ni handsome utaibiwa. Hii imekaaje wadau ni sawa
 
Kla sehemu kunautaratbu
 
Eeh kwa hiyo unataka waolewe kwanza ndo wasalimie hao waume za watu kwa kuwakumbatia
 
kazi nyingi hasa za reception na front office zinahitaji wadada warembo, wachangamfu na wale wenye uwezo wa kuongea vizuri na watu!

front office na reception ni sehemu ya moyo wa ofisi kwa sababu ndipo primary service zinapoanzia, hivyo usipomuweka mdada smart na mwenye uwezo wa kujieleza kwa lugha nzuri, basi utakuwa umepoteza wateja wengi na kueneza sifa mbovu kwa kampuni!!

hayo mengine sijui ya kukumbatiana na kupiga story za wanaume za watu, kama hayana effect kwenye ofisi, basi waache tu wavunje vyungu mpaka watakapoacha wenyewe!

Goodmorning!
 
Hao ni malaya kama malaya wengine vijitu visivyojielewa ni tabia mbaya kabisa
Wanajamvi hi kwenu wote! Hii ni tabia ambayo nimeiona kwenye ofisi fulani eti unakuta mwanadada ambaye hujaolewa lakini unakuwa mchangamfu kupindukia ofisini na kukumbatia watu ovyo hata waume za watu na pia unakuwa na tabia ya kupenda kusifia waume za watu kwa kuwaambia wake zao eti mume wako ni handsome utaibiwa. Hii imekaaje wadau ni sawa
 
Ni sawa hasa kama una ka-ugonjwa ka "attention seeking"
 
Asilimia kubwa ya wanawake walio maofisini humo wako desperate. Wanajirahisisha ovyo ovyo ili watongozwe. Wavumilie kaka wanaume wa maana ni bishaa hadimu.
 
Si ajabu kwa watoto wa kike ambao hawajaolewa mana wengi wao ni madrama queen
 
kazi nyingi hasa za reception na front office zinahitaji wadada warembo, wachangamfu na wale wenye uwezo wa kuongea vizuri na watu!

front office na reception ni sehemu ya moyo wa ofisi kwa sababu ndipo primary service zinapoanzia, hivyo usipomuweka mdada smart na mwenye uwezo wa kujieleza kwa lugha nzuri, basi utakuwa umepoteza wateja wengi na kueneza sifa mbovu kwa kampuni!!

hayo mengine sijui ya kukumbatiana na kupiga story za wanaume za watu, kama hayana effect kwenye ofisi, basi waache tu wavunje vyungu mpaka watakapoacha wenyewe!

Goodmorning!

Asante...
 
Wanajamvi hi kwenu wote! Hii ni tabia ambayo nimeiona kwenye ofisi fulani eti unakuta mwanadada ambaye hujaolewa lakini unakuwa mchangamfu kupindukia ofisini na kukumbatia watu ovyo hata waume za watu na pia unakuwa na tabia ya kupenda kusifia waume za watu kwa kuwaambia wake zao eti mume wako ni handsome utaibiwa. Hii imekaaje wadau ni sawa

sasa je kumbe hawajaolewa!
 
Back
Top Bottom