njiwa namshukuru sana Mungu sijawah kuwa muhanga a hali hii ila naweza kuisemea kidogo.
siku zote ukiona ndgu wa mume wanausumbufu basi jua kuna mwanya wameupata mahali ama mke ni msemaji sana? ama mume yuko karibu sana na ndugu zake ingawa kaoa? ama wanaish na ndugu nyumba moja. wengi wa watu nilio waangalia niligu dua kwamba hizi ni sababu za wao kuanza kugombana.
busara ya kutumia ili kukwepa hali hii ni hii
mke asiwe mtu a maneno mengi, yaani stori za kupiga mara kwa mara ukweni asiwe nazo.
mume akioa aambatane na mkewe na wao wawili wasimame kama wao hata kwenye shida hasa za kifedha wasiombe kwa ndugu bora kwa marafiki ili nidhamu iwepo na baba aweze kusimama kama baba.
istoshe mume na mke wasioane wakaish karibu na ndugu wa upande wowote ule ama nyumba moja. oa tafuta nyumba yako nje na hapo kwenu msiseme nyumba ya bure mkae humo lazima ndoa ivinjike hii.
Pengine hii pia usababishwa na mwanaume kutokuwa na misimamo na kupenda kushirikisha kila tatizo la ndoa watu wengine hasa ndoa! Mnaweza kuwa mbali na ndugu lakini tatizo kidogo limetokea unapiga simu na ndugu wengi hasa wa mwanaume linapotokea titizo ukimbilia kutoa lawama kwa mwanamke ndio hapo huwa chanzo cha matatizo!
aNi sawa kabisa gfsonwin. Kama kukiwa hakuna mwanya wa watu wa nje kuingilia mambo yenu hakuna anaeweza kuvuruga ndoa. Ila mkiachia mwanya, sio ndugu wa mume tu, hata mahausigelo wao na walinzi wa nyumba zao watawavuruga haswaa! Na kutokuwa na amani ni dalili ya mwanaume kushindwa kuwa kichwa cha nyumba.
Laiti ningekuwa na namba yako ningekutumia airtime. umeongea bonge la point.[/COLOR][/B]a
hapo kwenye red umenena. ni bora watu waseme mumeo ammejitenga kuliko awe ni mtu wa kuwachukulia poa ndugu na mabinti wa kazi. napenda sana mwanaume ambaye yuko siriaz na hana masihara na watu ya hovyo
lol, ukweni kuna visa mno.. huwa yatokea tu ...