Tabia hii tatizo ni nini?

SWEETEST

Member
Joined
Jul 17, 2013
Posts
26
Reaction score
4
Habari zenu wana MMU. Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikijiuliza swali hili na wakati mwingine nikijipa majibu labda tatizo ni ...au.... bila kupata majibu ya uhakika ndio maana nimeamua kulileta kwenu kwa michango zaidi. Kumekuwa na tabia ya wanandoa (baadhi na si wote) kutoheshimu ndoa zao kwa kuamua kuwa na mahusiano ya kimapenzi nje ya ndoa. Kama ni mume basi anakuwa na mwanamke mwingine nje ya ndoa na kama ni mke anakuwa na mwanaume mwingine nje ya ndoa ambaye watahusiana katika maswala ya kimapenzi. Tabia hii imeshamiri sana na sidhani kama ni tabia njema kwa afya ya ndoa na familia kwa ujumla. Je unafikiri tatizo hili linasababishwa na nini? Na kama ni tama kwa nini mtu aliamua kuoa au kuolewa si angeamua kuishi mwenyewe bila kuwa na mume au mke? maana wakati mwingine limekuwa likisababisha majeraha kwenye moyo wa mke au mume aliyetendwa pale inapokuja kugundulika kuwa mmoja wapo si mwaminifu na huwaathiri watoto pia. Karibuni kwa michango na nini kifanyike ili tabia hii isiendelee?
 
^^
Hakuna sababu inayoweza kusimama yenyewe ikajitosheleza..Lakini kuficha makucha wakati wa uchumba na kuyatoa wakati wa ndoa inaweza kuwa mojawapo.
^^
 
tunaona kwa bahat mbaya..tunaishi kwa makusudi...
Tunaokotana tu mtaani,tunahisi tumependana kuishi maisha kumbe tunakua tumependa kugegedana...
Nakuoa nakuweka ndani naichoka papuch yako..nazitafuta nyingine..

Ushauri... USIOLEWE/USIOE kwa shida ya kugegedana... Oa/olewa kwa kuanza ukurasa mpya wa maisha na mwenza wa kuzaa nae,kujenga,kusaidiana,kufarijiana,
 
Yote hayo chanzo chake ni makosa yafanywayo na wapenzi kabla ya kuoana...

Asili ya ndoa ni Mungu kama ilivyo asili ya upendo...

Zaidi ya hilo hata baada ya kuoana yapaswa kuishi kwa kumtegea Mungu
 
Ni kujiendekeza tuu na tabia ya umalaya tuu.
nothing else.
 
Yote hayo chanzo chake ni makosa yafanywayo na wapenzi kabla ya kuoana...

Asili ya ndoa ni Mungu kama ilivyo asili ya upendo...

Zaidi ya hilo hata baada ya kuoana yapaswa kuishi kwa kumtegea Mungu

Kama makosa gani vile!!!!!!!!!
 
Tatizo wanaparamiana tu wakiwa hata hawajuani wanategemea nini...Na isitoshe ndoa zenyewe ni kwa vigezo vya pesa,umri na vingenevyo...
 
Mmmh! Ni kuchokana + tamaa na inevitable circumstance!
 
ungeanza na takwimu halisi za Tanzania ama hapa kwetu East Africa ingesaidia sana katika kujenga hoja yako.
 
hii husababisha na milolongo ya mambo mbali mbali na wanandoa kushindwa kuongea kwa pamoja na mwisho wa siku kila mtu kutafuta pa kujiridhisha.
 
Nisaidie kuorodhesha hizo Inevitable Circumstances please

....
1- endapo mwenzio anakubania!
2- hawezi ku-do kwa sababu ya maradhi, zaidi yale ya kudumu!
....
Kwa waisilamu hapa mambo mawili hutokea 1 ukewenza or taraka!
Kwa wakiristo hutokea moja tu! Ni uzinzi kwa kwenda mbele!
....
Mungu akuepushie mbali! Hivi wewe ungefanyaje if mwenzio hawezi kukugegeda?
 
...nani alikwambia ukiolewa/ukioa ni chako mwenyewe? hao wasioolewa/walioolewa wakihitaji kutoka kwako ni haki yao...kwa sababu sie ni wanyama...enendeni mkazaliani mkaujaze ulimwengu...hadi leo haujajaa

Death rates = birth rates ===0
 

kwanza a kujiendekeza
pili wengine hulipa visasi
mwenzi wake akimsaliti
na yy anaona afanye kupunguza maumivu
pasipo kujua kutatua kosa kwa kufanya kosa
ni kuongeza makosa!!mungu awe kimbilio basi!!
 
Mimi ningemuomba huyo mwenzangu anishauri njia mbadala baada ya yeye kushindwa!!
 
Bwana Yesu nisaidie mimi..... Mungu wa Elia, Mungu wa Elisha, Mungu wa Iblahim, Mungu wa Joshua, na Baba zangu wote wa imani, mitume na Manabii wote...... Naomba muilinde ndoa yangu ijayo kwa kuifunika na upendo wenu amen.
 
Mimi ningemuomba huyo mwenzangu anishauri njia mbadala baada ya yeye kushindwa!!

....
Hahahahaaaa...!
Sidhani kama atakuruhusu ukagongwe! Vile vile sidhani kama ungeridhia njia yoyote anayokushauri ikiwa hiyo njia haitakuridhisha!!!!
....
Embu tugeukie upande wa pili!
Kama mwenzio yuko fresh, wewe haukofreshi (huwezi ku-do) Ungemshauri vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…