Na akiingia ndani apande kitandani na mijasho yake, dakika 2 tu anakoroma kama treni ya wahindi wa TRL! Na povu mdomoni, na harufu ya pombe zilizochacha! mweh!
Mwisho wa siku na kuibiwa vitu vyake kama wallet na simu anaibiwa ila hakomi kesho anarudia tena...kanakuwa ni ka-routine. Wala hashtuki na nyumbani anaitwa baba mwenye heshima zake..kila akirudi mke yupo kwenye kochi anapiga mbu....khaaaaa!!!