tabia gani

tabia gani

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
12,997
hbr za mwisho wa juma wanajf, hv ni tabia gani iliyowahi/inayokukera ambayo ulitake time kuiacha/ unashindwa kuiacha. mf. me nilikuwa nakerwa na tabia ya kutafuna kucha, ilifka wakat mpak vidole vikawa vinauma bt nlishindwa kuacha. thnx God nimeacha cku hz!
 
hahaha Kongosho umenchekesha mie. so ukiwanusa km wananuka unafanyaje?
 
Last edited by a moderator:

Mie nina tabia ya kupenda kuvua nguo, yani ukiniacha peke yangu tu, nishachojoa.
 
beberu huwa ananusa kujua kama mayai yameanguliwa, nq mie nangalia kama mayai yametagwa.

Kama tayari nakula mzigo.

hahaha Kongosho umenchekesha mie. so ukiwanusa km wananuka unafanyaje?
 
Last edited by a moderator:
pia kuna rafk yangu m1 saiv anafanya masters ye ana tabia ya kuweka vitu mdomon afu anaving'atang'ata iwe kalamu,mifuniko ya kalamu na chupa za maji.
 
kupenda kutumia mda mwingi ktk neti ila saivi namshukuru mungu nimeweza kupunguza kwa kiwango kikubwa sana
 
kunywa bia.. yani nkiona chuichui tu mate yananitoka.!!! but xa iz nafuu napga mizinga yangu kumi tu ya konyag nalala...
 
Ukuni wangu ukipata hamira, nahitaji utendewe haki soon!
Mambo ya kupangiwa mgao kama umeme wa Tanesco kwangu nishaTUPA kulee!
Sijui nayo ni tabia mbaya au nzuri !
Mimi sijui.
 
Charminggirl acha tu.
Me binafsi nilikuwa na tabia ya kuvua nguo zote na kubaki nkd,then nachukua kioo cha bi Mkubwa(R.I.P) nakilaza chini then namwita mdogo wangu ili anichore umbo langu nikiwa nimelala chali juu ya kioo.
Akishanichora,nachukua mchanga najaza ndani ya lile umbo langu.
Yani huwa nikikumbuka najiuliza marambilimbili au nili-kuwa half chzi au?
Utoto acha tu.
 
Last edited by a moderator:
hbr za mwisho wa juma wanajf, hv ni tabia gani iliyowahi/inayokukera ambayo ulitake time kuiacha/ unashindwa kuiacha. mf. me nilikuwa nakerwa na tabia ya kutafuna kucha, ilifka wakat mpak vidole vikawa vinauma bt nlishindwa kuacha. thnx God nimeacha cku hz!

heri yako umeweza kuacha, me mpaka leo natafuna kucha, na wanangu wote nao wanatafuna kucha, ila nawadhibiti waache mana wacje wakakua na hyo tabia wakaendelea nayo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom