Hakuna mtu aliekamilika hata kidogo,hata mwanamke awe mzuri kiasi gani ama mwanaume awe mzuri lazima kutakua na kasoro kwenye tabia ama mambo anayoyafanya yanakukera na bado unavumilia,,Hasa kwenye Ndoa ndo balaa,mtu anachoka ama anakerwa na tabia ya mwenzake mpaka anatamani mwenzake asafiri kwa mda ama hata asimuone hapo nyumbani mda mrefu.
wanaume tunavumilia meengi tu lol
Hamtukuti sie! On a serious note, isingekuwa maadili ya kidini ningewaza ulesbian kabisa! Mpphhheeewww!
Hamtukuti sie! On a serious note, isingekuwa maadili ya kidini ningewaza ulesbian kabisa! Mpphhheeewww!
Acha tu.... ukishaona mwanamke eti anaanza tabia ooh, nachukia ndoa yangu, sina raha natamani japo nisafiri kidogo , kwa asilimia 90%, amepata mwanaume na soon utasikia anagawa nje...wanaume tunavumilia meengi tu lol
orodhesha na sisi tu orodheshe ili tuweze ku rank.wanaume tunavumilia meengi tu lol
orodhesha na sisi tu orodheshe ili tuweze ku rank.
1.kutumia pesa vibaya
hesabu idadi ya mikoba,viatu,nywele na kadhalika
2.kushindana
3.wivu kwa kila mtu, wanawake woote wanaokutana na mumeo
4.mdomo ,mdomo na gubu
5 umbea na kuwa busy na yasiyowahusu
6.mengi tu
Hakuna mtu aliekamilika hata kidogo,hata mwanamke awe mzuri kiasi gani ama mwanaume awe mzuri lazima kutakua na kasoro kwenye tabia ama mambo anayoyafanya yanakukera na bado unavumilia,,Hasa kwenye Ndoa ndo balaa,mtu anachoka ama anakerwa na tabia ya mwenzake mpaka anatamani mwenzake asafiri kwa mda ama hata asimuone hapo nyumbani mda mrefu.
kwani mie sifanyi kazi? sistahili kujipenda kwa kuvaa vizuri nipendeze?
hebu angalia
tunavaumilia ulevi wa kupindukia...
ufujaji wa hela hasa kwenye ulevi na nyumba ndogo.......
ubabe usiokuwa na sababu..........
ukatili wa kibaba
kukojoa kitandani
kutapika vitandani
kurudi usiku wa manane
uvivu has kwenye kazi za ndani
n.k
Hapo kwenye red hatari kweli kweli ipo hii lakini?kwani mie sifanyi kazi? sistahili kujipenda kwa kuvaa vizuri nipendeze?