Tabia 10 za watu wenye mafanikio

Tabia 10 za watu wenye mafanikio

Ni vyema kujifunza kwa watu wenye mafanikio miongoni mwa tabia zao ambazo kwa namna moja au nyingine ndio zimechangia wao kuwa na hayo mafanikio.

1. Wana nidhamu

2. Wachapa kazi

3. Wanapenda kusoma vitabu

4. Wanalala mapema na wanaamka mapema

5. Wanajali sana muda wao

6. Wanakula vizuri na kufanya mazoezi

7. Wana marafiki wanaojitambua

8. Wana vyanzo vingi vya mapato

9. Hawakati tamaa

10. Wanajali afya zao.

Hizi tabia ukijitahidi kuwa nazo, sooner or later you'll be among the successful.
Manji hana hayo yote
 
Do i need a combination of all? au hata tabia mojawapo tu na mi ntatoboa..
 
For starters, unaweza kuanza na moja kisha unaenda unaongeza nyingine.. na kama ukichunguza zipo inter-dependent, yaani ukianza na moja automatically itakupelekea ku adopt na nyingine.
 
Uliyoyaandika yote ni sahihi.
Utekelezaji ndiyo tatizo kwa asiyeamini.
 
For starters, unaweza kuanza na moja kisha unaenda unaongeza nyingine.. na kama ukichunguza zipo inter-dependent, yaani ukianza na moja automatically itakupelekea ku adopt na nyingine.
Sawa mkuu, hivi mafanikio ni nini hasa? mana kuna mdau katoa mfano wa manji hapo juu umempinga
 
mafanikio yana maana pana sana. ila kuiweka kwa urahisi, mafanikio ni pale unapoweza kukamilisha mipango uliyojiwekea. kwa mfano

-umejiwekea mpango ujenge nyumba mwaka huu, ukimaliza kujenga umefanikiwa katika hilo jambo.

-umejiwekea mipango uwe na familia ya watoto 2, ukikamlisha unajihesabu umefanikiwa.

-umejiwekea mipango, usome mpaka phd, ukikamilisha then... etc
 
Kweli umeiweka kiurahisi..yani mpaka mie la saba B nimeweza kukuelewa. heko kamanda
 
Ni vyema kujifunza kwa watu wenye mafanikio miongoni mwa tabia zao ambazo kwa namna moja au nyingine ndio zimechangia wao kuwa na hayo mafanikio.

1. Wana nidhamu

2. Wachapa kazi

3. Wanapenda kusoma vitabu

4. Wanalala mapema na wanaamka mapema

5. Wanajali sana muda wao

6. Wanakula vizuri na kufanya mazoezi

7. Wana marafiki wanaojitambua

8. Wana vyanzo vingi vya mapato

9. Hawakati tamaa

10. Wanajali afya zao.

Hizi tabia ukijitahidi kuwa nazo, sooner or later you'll be among the successful.
Well said!
Bandiko lako zuri. Jamii imekuwa haielewi nadhani maana halisi ya Mafanikio kwa kudhani ukiwa na gari nzuri, nyumba nzuri nk ndiyo mafanikio. MAFANIKIO NI MCHAKATO NA SIO MUSTAKABALI. Ni mkusanyiko wa mambo mengi ambayo yapo katika mlingano! Kuishi kwa furaha na amani ndani ya familia yako au jamii yako ni sehemu ya mafanikio! Mkusanyiko huu hujumuisha kuanzia masuala ya kijamii, kiuchumi na hadi kisiasa kwa kifupi ni hivyo.
Ukitafakari kila sababu hapo utaona nyuma ya point hiyo INA maelezo mengi ya kuwa hivyo! Mfano nidhamu. Achana na tabia tu za kistaarabu lakini hata matumizi sahihi ya rasilimali ulizonazo, mahusiano katika jamii yako nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sina sifa hata moja kati ya hizo ila nina mafanikio makubwa!!
 
Ni vyema kujifunza kwa watu wenye mafanikio miongoni mwa tabia zao ambazo kwa namna moja au nyingine ndio zimechangia wao kuwa na hayo mafanikio.

1. Wana nidhamu

2. Wachapa kazi

3. Wanapenda kusoma vitabu

4. Wanalala mapema na wanaamka mapema

5. Wanajali sana muda wao

6. Wanakula vizuri na kufanya mazoezi

7. Wana marafiki wanaojitambua

8. Wana vyanzo vingi vya mapato

9. Hawakati tamaa

10. Wanajali afya zao.

Hizi tabia ukijitahidi kuwa nazo, sooner or later you'll be among the successful.
Kuna ukweli mkubwa sana...nimekubali mkuu.

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
Ni vyema kujifunza kwa watu wenye mafanikio miongoni mwa tabia zao ambazo kwa namna moja au nyingine ndio zimechangia wao kuwa na hayo mafanikio.

1. Wana nidhamu

2. Wachapa kazi

3. Wanapenda kusoma vitabu

4. Wanalala mapema na wanaamka mapema

5. Wanajali sana muda wao

6. Wanakula vizuri na kufanya mazoezi

7. Wana marafiki wanaojitambua

8. Wana vyanzo vingi vya mapato

9. Hawakati tamaa

10. Wanajali afya zao.

Hizi tabia ukijitahidi kuwa nazo, sooner or later you'll be among the successful.
WhysoSerious..
Umelist vizuri sana!
Yote uliyoainisha ni ukweli na ni muhimu kwa hususani vijana kuyafanyia kazi,
Niongezee angalau kipengele kimoja ambacho sijui utakiingiza wapi?.....Watu wenye mafanikio huwa ni Watu majasiri sana, hawaogopi kukosea ila wanaogopa kutokujaribu! hawana msamiati wa kushindwa katika akili zao! Wakishindwa ujue walishajaribu ila hawakuona kufanikiwa kwa njia waliyotumia wakabadili njia nyingine!
Maranatha!
 
yeah thats right mkuu.
 
Back
Top Bottom