Tabia 10 za watu wenye mafanikio

Tabia 10 za watu wenye mafanikio

Royal Warrior

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
1,166
Reaction score
2,144
Ni vyema kujifunza kwa watu wenye mafanikio miongoni mwa tabia zao ambazo kwa namna moja au nyingine ndio zimechangia wao kuwa na hayo mafanikio.

1. Wana nidhamu

2. Wachapa kazi

3. Wanapenda kusoma vitabu

4. Wanalala mapema na wanaamka mapema

5. Wanajali sana muda wao

6. Wanakula vizuri na kufanya mazoezi

7. Wana marafiki wanaojitambua

8. Wana vyanzo vingi vya mapato

9. Hawakati tamaa

10. Wanajali afya zao.

Hizi tabia ukijitahidi kuwa nazo, sooner or later you'll be among the successful.
 
Mafanikio hayana tafsiri ya moja kwa moja. Pamoja na hayo wapo watu wengi sana wana hizo attributes lakini hawana mafanikio.

wengi wanadhani mafanikio ni pesa. wa kwanza nadhani ni ww. unawezaje kusema hana mafanikio mtu mwenye tabia hizi zote?
 
wengi wanadhani mafanikio ni pesa. wa kwanza nadhani ni ww. unawezaje kusema hana mafanikio mtu mwenye tabia hizi zote?
Hakuna sehemu nimesema mafanikio ni pesa, nimekueleza mafanikio hayana tafsiri moja, read between the lines
 
ni vyema kujifunza kwa watu wenye mafanikio... miongoni mwa tabia zao ambazo kwa namna moja au nyingine ndio zimechangia wao kuwa na hayo mafanikio .

1. wana nidhamu

2. wachapa kazi

3. wanapenda kusoma vitabu

4. wanalala mapema na wanaamka mapema

5. wanajali sana muda wao

6. wanakula vizuri na kufanya mazoezi

7. wana marafiki wanaojitambua

8. wana vyanzo vingi vya mapato

9. hawakati tamaaa

10. wanajali afya zao.

hizi tabia ukijitahidi kuwa nazo, sooner or later you'll be among the successful.

Hizi Sifa zilikuwa rahisi sana Mtu kuwa nazo hasa kipindi cha kati ya mwaka 2005 hadi 2015 ila kwa kipindi kilichoanzia mwaka 2015 na ambacho kitaisha mwaka 2020 au 2025 na kwa hali iliyopo sasa kuwa na Mafanikio kama ulivyoainisha hapo juu ni ndoto tena za mchana kweupe kabisa.
 
Think harder mkuu
 
Back
Top Bottom