Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,696
- 11,297
Hivi Mlinzi Huwa anakula shilingi ngapi pa gemu? Aiseee ndiyo maana walinzi wanalipwa elfu themanini kwa mwezi lkn familia inaenda Na wanajenga Na kusomeshaMbona vitu vya kawaida sana, Kama unatembea usiku kwy sehemu za starehe. Dar es salaam sehemu nyingi madanga wapo na sehemu ambazo kwny carwash, gereji, chooni na sehemu ambazo kuna Walinzi ndio sehemu za kufanyia mapenzi
Kweli kabisa!
Mimi nawajua wawili ambao supposedly ni high-end!
Watembee na EFD au siyo!Hao watu waanze kulipishwa kodi tu hakuna namna
Brother.we acha tu nilimtongoza dem anakaa tabata kimanga alikuwa active Sana kwenye kuchat all the time nikimtext ana reply nikawa namuhoji maswali anaishi.wapi.anafanya kazi gani na anaishije.ila majibu yake yalinichosha kabisa eti anaishije mjini wakati yy mtoto wa kike . kumbe ni mdangajiHasa akisema hana shughuli...maalum....
Ni old friends?umewastukia tu au uliwakuta sokoni?
Ni new friends!
Baada ya ku hang out nao ndo nimewastukia.
Wapo sana kwenye social media...Instagram....Snapchat...etc.
Wao hawasimami barabarani. Zao ni kwenda kwenye sehemu mbalimbali za starehe na kutegesha huko.
Imagine huwa wanatoka Tabata Bima kwenda Triple 7!
Na kimuonekano wako vizuri. Ukikaa nao na kupiga nao stori wanakwambia wamemaliza CBE na sasa wanatafuta kazi.
Binafsi sidhani kabisa kama hata sekondari wamemaliza wale.
Wako wawili na wanaishi pamoja. Unaweza hata kwenda wanapoishi.....
Ndo halihalisi Dar siku hizi..
ukikuta msichana anakwambia naishi na rafiki yangu halafu natafuta kazi ujue
ndo hao hao.....wakianza kuzeeka wanakuwa wana pimp young ones hata wadogo zao kabisa.....hatari
Halafu....what’s up with this ‘nasoma CBE’ au ‘nimemaliza CBE’?
Ndo chuo chenye chati kwa warembo au?
Na wewe unadanga eti?Karibu mjini....
Hapana mkuu.
Ila karibu utueleze experience zako na ilikuwaje kuwaje dume zimaaa ukachoreshwa saba uchochoroni.
Mkuu promo tena?,ili iweje sasa?,...unafikiri nilikuwa najua?....nakuapia ckuwa najua chochote ila kiasi flani walikaribia kunipata aisee...jina lisikutie shaka mkuu maana huwa balamba mchuzi wooteMkuu jina lako lenyewe "Nalamba Yote" - haukuwala kweli hao Madada?? Au ndio unawapigia "Promo" huku tujue vijiwe vyao - ili wanaotaka kwenda "kujivinjari" waelekee huko???
Aisee mmoja alikuwa na nyama za kutosha ila wengine walikuwa size ya katimitaa gani zipo!?..manake mie najua zaidi makanisa,misikiti,benki,vyuo..sasa nataka niende tukatumie hizo kondom na tishu..mtoa mada,walikua na nyama au vimbaumbau
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] haki ya nani ningepiga ningesema,sema wamenitamanisha hadi natamani nirudi nikapige,shetani hajanipitia tena.......samsin is not adding up.
Ulipiga bana. Kuja kustuka ndo ukawahisha dawa home.
Sikupiga mkuuHuyu alipiga.
Nipo siku zote,sema Mara nyingi hapo bima sitembeagi sana,huwa napita tu Kwa daladala mkuuKaribu mjini....
Sikupiga mkuu
Kapige mkuu naona unateseka![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] haki ya nani ningepiga ningesema,sema wamenitamanisha hadi natamani nirudi nikapige,shetani hajanipitia tena.
Ntake radhi mkuu,ila Nina mpango Wa kuwarudia cku nikibanwa na ugwaduHahaa. Kapiga bana tena huko chooni