Tunaomba mamlaka husika zichukue hatua au zichukuliwe hatua. Tabata na vitongoji vyake na pengine tabata nzima maji ya dawasco hayatoki na hakuna taarifa yoyote...
Kama hakuna maji huko Tabata kwa wiki zima, mna habati. ninyi mko peponi. Wengine huku Mbezi Juu kwa Pembe njia ya kuelekea Goba, hayo maji tunayasikia redioni. Mabomba yapo lakin hatujawahi kuyaona hayo maji ya DAWASCO. Engineer Luhemeje tukumbuke
Tunaomba mamlaka husika zichukue hatua au zichukuliwe hatua. Tabata na vitongoji vyake na pengine tabata nzima maji ya dawasco hayatoki na hakuna taarifa yoyote..
Tunaomba mamlaka husika zichukue hatua au zichukuliwe hatua. Tabata na vitongoji vyake na pengine tabata nzima maji ya dawasco hayatoki na hakuna taarifa yoyote...
Yaani maji kutotoka wiki unakuja kulia lia humu? unajua kuna mamilioni ya watu hawajawahi kuunganishiwa maji na wananua maji kila siku au kutegemea maji ya mvua au kuchota kwenye mabwawa na madimbwi yanayotumiwa pia na mifugo!?
Mkuu kwan kakwambia hajlipa bili ?, mambo mengine bana , acha ujinga mkuu, kwamba Maji hayatoki sehem zote , kwa hiyo unataka kusema , watu wote tabata nzima hawajalipa bill
Mkuu mtu kama hataki kulipa Ankara asitegemee maajabu
Mkuu nchi hii sio kama zamani watu walikua wanalindana na kuishi kiujanja ujanja q
Lipeni hili hakuna cha bure