Taarifa ya Dharura,Mtambo wa Kuzalisha maji Ruvu Juu umesimama kutokana na hitilafu ya umeme iliyosababishwa na kuanguka kwa Nguzo 9 za umeme kutoka Chalinze hadi Mlandizi. Mafundi wa TANESCO na DAWASA wanaendelea na jitihada za kutatua tatizo.Huduma inatarajiwa kurejea baada ya saa 24,hivyo Tunakusihi kuhifadhi na kuzingatia matumizi bora ya maji..
Taarifa ya Dharura,Mtambo wa Kuzalisha maji Ruvu Juu umezima tangu saa 7:46 mchana wa leo 23/1/2021 baada ya kutokea hitilafu ya umeme.Mafundi wa TANESCO wanafuatilia kubaini chanzo ili kuweza kulishughulikia kwa haraka.DAWASA itatoa taarifa mara uzalishaji maji utakaporejea,hivyo Tunakusihi kuhifadhi na kuzingatia matumizi bora ya maji..