Dume, salama, n.k hizi ni condom za kiume na huwa zinatangazwa sana katika matangazo kwenye redio na tv. Vp condom za kike ziliishia wapi? Kama zipo mbona co kwa wingi kama za kiume wala hazina matangazo kihvo?
Mwanamke hasa mke wa mtu anajisikiaje kuweka condom ya kiume kwenye pochi anaenda nayo kwa mwanaume mwingine..
Kipi kizaazaa kati ya mwanamke kumkuta mumewe anatoka na condom ya kiume mfukoni AU mwanaume kumkuta mkewe anatoka na condom ya kiume kwenye pochi? Tena ile asubuhi mkiwa mnaenda kazini?