Tabasamu la mke wangu.

Kuna jukwaa la kutafuta masoko ya matabasamu...
 
yeah she look sex na tabasamu lake....
 
Piga chini mkuu mbona tabasamu lake la kiboya hivi? lazima atakua kicheche tu!
 
Amekuruhusu lakini kuja kumnadi humu ndani!?
 
Unamuuza mkeo! Kweli jf imevamiwa!! Au unamtafutia umaarufu mkeo mitandaoni!!,
 
Kwa hiyo tufanyeje. Kuna mtu amekutuma labda kumwonyesha tabasamu la mkeo? Kama huna post yenye akili piga chini mkuu.
 
Namjua uyo,ni mwalimu wa shule ya msingi! Anapenda kutabasamu uyo!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…