Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,284
- 33,881
Kinyungu,Huyu naye alipambania uhuru wa mliyotaka iwe Jamhuri ya Kiislam ya Tanganyika?
Asante kwa ufafanuziKinyungu,
Hapakuwa na kitu kama hicho.
Mwajame ni mtoto wa Dossa Aziz.
Wakati wa kupigania uhuru alikuwa msichana mdogo akisoma Al Jamiatul Islammiya Muslim School.
Mambo ya familia yako hayo ndiyo unapenda kuyaanika hadharani halafu unadai ni historia iliyosahaulika.
Kinyungu,Asante kwa ufafanuzi
Hiyo shule ya Al Jamiatul Islammiya Muslim School ndiyo Zanaki au?
Huihui,Mambo ya familia yako hayo ndiyo unapenda kuyaanika hadharani halafu unadai ni historia iliyosahaulika.
Kwa sasa iko wapi hiyo shule? Au inaitwaje kwa sasa?Kinyungu,
Zanaki ilikuwa Aga Khan School.
Al Jamiatul Islammiya fi Tanganyika Muslim School ni shule ilijengwa 1933 na Waislamu wale waliounda African Association 1929.
Kinyungu,Kwa sasa iko wapi hiyo shule? Au inaitwaje kwa sasa?
Nimekupata.Kinyungu,
Shule Iko Mtaa wa Max Mbwana (zamani Stanley kisha Aggrey na sasa Max Mbwana) kona na Lumumba Avenue (zamani New Street).
Sasa shule inaitwa Lumumba.
Kinyungu,Nimekupata.
Mtaa wa Aggrey nao umeshabadilishwa jina?
Loooh. Kwa hiyo kwa sasa Aggrey hana mtaa hapo Dar es Salaam?🥲Kinyungu,
Aggrey sasa ni Max Mbwana.
Kinyungu,Loooh. Kwa hiyo kwa sasa Aggrey hana mtaa hapo Dar es Salaam?🥲
Gagnija,Huyu marehemu ndiye alikuwa akiishi kigamboni?