Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,282
- 33,880
- Thread starter
-
- #21
Platozoom,Hahaaa
"Na tukisema ndo mnakuja nyuma yetu na kujifanya mnajua". Nimeupenda huo mstari! Kumbe tumeshakuwa sisi? Sisi kina nani tunaojifanya tunajua na ninyi kina nani mnaosema?Platozoom,
"Assalaam alaikum
Nimesoma taazia ya Mkapa na urafiki wake na Mzee Kondo.
Kuna kitu muhimu sana umekiacha.
Extremely important na ndicho kingebeba taazia yote.
Mzee Kondo kanihadithia mwenyewe kuwa wakati Mkapa anataka kumuoa mama Anna yeye mzee Kondo ndie alikuwa mshenga ! Yeye ndie aliyepeleka Posa."
Katika wale unaodhani wewe walitumwa na Mwalimu kama nilivyokueleza hakuna aliyefikia daraja hii na mimi nawajua na wao wananijua vizuri sana.
Sisi huwa hatusemi hadi ifurtu ada.
Na tukisema ndiyo mnakuja nyuma yetu na kujifanya ati mnajua.
Ungukuwa mjanja na unataka kusoma historia hii ungeniuliza kwa nini Mwalimu alitaka msaada wa Mzee Kondo na nini uhusiano wao na ulianza lini?
Naamini unafahamu unachokikosa.
Hivi hujui hapa ninachokieleza?"Na tukisema ndo mnakuja nyuma yetu na kujifanya mnajua". Nimeupenda huo mstari! Kumbe tumeshakuwa sisi? Sisi kina nani tunaojifanya tunajua na ninyi kina nani mnaosema?
Na ikiwezekana jumanne iwe siku ya mapumziko kitaifa kama ambavyo ni siku ya kitaifa ya kumuaga mzee wetu wa ukweli na uwazi!!Kwa kuwa Mkapa alikuwa mkuu wa chuo cha Dodoma, ningependekeza siku ya J4, mwili wake usafirishwe hadi UDOM ili jumuiya ya pale ipate nafasi ya kubid farewell to him.. Tukumbuke, hii ndiyo ilikuwa ajira yake ya mwisho hapa Duniani.
Huyu savimbi inawezekana ni ticha wangu pale chuoni maanake so kwa kiswahili hikiNimekukubali Bujibuji wewe ni Mdini sana 😀 😀 😀 😀 😀 na wewe usinizengue.
Nitakumbuka uwezo mkubwa wa kuongea Kiingereza aliokuwa nao mzee Mkapa. R.I.P
Kumbe haya ndiyo ulisema Watapigwa nayo butwaa na mshangao..hahaaaaPlatozoom,
"Assalaam alaikum
Nimesoma taazia ya Mkapa na urafiki wake na Mzee Kondo.
Kuna kitu muhimu sana umekiacha.
Extremely important na ndicho kingebeba taazia yote.
Mzee Kondo kanihadithia mwenyewe kuwa wakati Mkapa anataka kumuoa mama Anna yeye mzee Kondo ndie alikuwa mshenga ! Yeye ndie aliyepeleka Posa."
Katika wale unaodhani wewe walitumwa na Mwalimu kama nilivyokueleza hakuna aliyefikia daraja hii na mimi nawajua na wao wananijua vizuri sana.
Sisi huwa hatusemi hadi ifurtu ada.
Na tukisema ndiyo mnakuja nyuma yetu na kujifanya ati mnajua.
Ungukuwa mjanja na unataka kusoma historia hii ungeniuliza kwa nini Mwalimu alitaka msaada wa Mzee Kondo na nini uhusiano wao na ulianza lini?
Naamini unafahamu unachokikosa.
Platozoom,Kumbe haya ndiyo ulisema Watapigwa nayo butwaa na mshangao..hahaaaa
Don...Bwana Mohamed Said unatumia nguvu nyingi na kuzunguka kuelezea kile unachotaka kuelezea.
Just be straight bosi, siyo wote wenye uwezo wa kukuelewa unapotumia mafumbo.
Kitwana alitengwa na Mkapa baada ya Mkapa kupata Urais! Nadhani hii ndiyo theme ya huu uzi. Na ninaweza kubashiri kwamba si muda unaenda kuchomekea swala la dini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nani? Mohamed Said, Kitwana Kondo au Benjamin Mkapa?
Hivi hujui hapa ninachokieleza?
Nilianza na kueleza uhusiano wangu na Mzee Kondo hadi nikaeleza kuwa alipokuwa anaanza maisha alipanga nyumba ya bibi yangu Sophia bint Farjala Mtaa wa Likoma.
Hawa ndiyo watu wangu ndiyo sisi.
Kitwana Kondo kwa uhusiano huu nikawa mwanae na ndiyo kunipenda na kuniamini akanifunza mengi.
Ndiyo haya unayasoma hapa ambayo hukuwa unayajua.
TII,Mzee huwa unatamani familia yako iandikwe kwa wino
Hata pasipokua udugu utajipenyeza uonekane tu
Hivi ana watoto huyu mtu?
TII,
Sijipenyezi ni malezi.
Tulivyolelewa sisi ni kuwa jamaa ni ndugu.
Mtu mzima yeyote makamo ya baba yako au mama yako ni sawa na mzazi wako.
Kwani hili limekuudhi?