Taasisi za Serikali kuwa chini ya kiwango | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taasisi za Serikali kuwa chini ya kiwango

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by oba, Aug 3, 2011.

 1. oba

  oba JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 307
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Ktk taarifa ya habari ya star tv saa 2 usiku imeonekana shule za msingi morogoro za serikali zinafanya kazi chni ya kiwango ukilinganisha na shule za serikali. Hii ikanikumbusha taarifa niliyoipata kuwa hospitali ya rufaa ya mbeya, ambayo ndo hosp pekee ya rufaa ya serikali, ukilinganisha na Bugando( wakatoliki) na KCMC( warutheri) inafanya chini ya kiwango mno kiasi ambacho kuna baadhi ya idara kama idara ya pua, koo na maasikio( ENT) kutokuwepo kabisa kwenye hospitali hii. Si hapo tu we jaribu kuangalia taasisi zote( ATC, TTCL, TRL, TANESCOn.k.) zinazoendeshwa na serikali utagundua kuwa serikali imekalia kupiga domo na siasa kwa wingi huku huduma kwenye taasisi zake zikiwa taabani
  Nawasilisha!
   
 2. Ze burner

  Ze burner JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Ni kweli mzee ila siku zote kukosoa ni rahisi na kila mmoja anaweza tujaribu pia kujadili njia za kutatua hayo matatizo katika blog hili kama wafanyavyo wabunge. che che che!
   
Loading...