Taasisi ya Doris Mollel Foundation kwa kushirikiana na Samakiba Foundation, kuwekeza kwenye Watoto njiti

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,813
11,991
*SAMAKIBA KUSHIRIKIANA NA DORIS MOLLEL FOUNDATION KUWEKEZA KWA WATOTO NJITI
IMG_20230513_193036_916.jpg

Taasisi ya Doris Mollel Foundation kwa kushirikiana na Samakiba Foundation (@samakibafoundation )wamezindua kampeni ya mechi ya hisani iendayo kwa jina la Nifuate na Upendo wa Zambarau 2023. Mechi hii ya hisani bkwa mwaka huu itafanyika mnamo tarehe 17 Juni 2023 katika kiwanja cha Azam Complex kilichopo Mbagala Chamazi ambayo imelenga kutoa msaada wa vifaa tiba katika hospitali zilizopo Kibiti na Kigoma.
IMG_20230513_191501_012.jpg

Katika kuelekea mechi hio ya hisani kutakuwa na matukio mbali mbali yakiambatana na Bonanza mbili zitakazotarajiwa kufanyika mnamo tarehe 10 na 11 Juni 2023 katika viwanja vya Kariakoo na Mbagala. Ikumbukwe kuwa, Samakiba Foundation ni taasisi iliyoanzishwa mwaka 2020 na Mbwana Samatta (@samagoal77 )na Alikiba (@officialalikiba), ikiwa na lengo la kusaidia wale wanaohitaji ndani ya jamii kupitia mechi yao ya hisani iendayo kwa jina la Nifuate.
IMG_20230513_193044_901.jpg

#Nifuate2023 #UpendoWaZambarau
IMG_20230513_191137_614.jpg
IMG_20230513_191137_638.jpg
IMG_20230513_191137_582.jpg
 
*SAMAKIBA KUSHIRIKIANA NA DORIS MOLLEL FOUNDATION KUWEKEZA KWA WATOTO NJITI

Taasisi ya Doris Mollel Foundation kwa kushirikiana na Samakiba Foundation (@samakibafoundation )wamezindua kampeni ya mechi ya hisani iendayo kwa jina la Nifuate na Upendo wa Zambarau 2023. Mechi hii ya hisani bkwa mwaka huu itafanyika mnamo tarehe 17 Juni 2023 katika kiwanja cha Azam Complex kilichopo Mbagala Chamazi ambayo imelenga kutoa msaada wa vifaa tiba katika hospitali zilizopo Kibiti na Kigoma.
View attachment 2620566
Katika kuelekea mechi hio ya hisani kutakuwa na matukio mbali mbali yakiambatana na Bonanza mbili zitakazotarajiwa kufanyika mnamo tarehe 10 na 11 Juni 2023 katika viwanja vya Kariakoo na Mbagala. Ikumbukwe kuwa, Samakiba Foundation ni taasisi iliyoanzishwa mwaka 2020 na Mbwana Samatta (@samagoal77 )na Alikiba (@officialalikiba), ikiwa na lengo la kusaidia wale wanaohitaji ndani ya jamii kupitia mechi yao ya hisani iendayo kwa jina la Nifuate.

#Nifuate2023 #UpendoWaZambarau
View attachment 2620552View attachment 2620553View attachment 2620554
Hongera kubwa kwao kwa kujali na Kuthamini

Sent from my SOV37 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom