Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,761
Nataka kufanya course ya hiyo kitu hapo juu, mwenye uzoefu na ujuzi wa hiyo kitu. anisaidie kujua taasisi gani nzuri sana kwenye hiyo nyanja ambayo ina wabobezi na hayo mambo
Ukijifunza kuandika vizuri wataalamu watavutiwa na uzi wako na kuja kuchangia futa then andika upya.. nakurudia mkuuNataka kufanya course ya hiyo kitu hapo juu, mwenye uzoefu na ujuzi wa hiyo kitu. abisaidie kujua taasisi gani nzuri sana kwenye hiyo nyanja
Sijaja kujifundisha muandiko au kuandika ili nikupendezeshe. Kama haujaelewa au huna msaada pita kushoto.Ukijifunza kuandika vizuri wataalamu watavutiwa na uzi wako na kuja kuchangia futa then andika upya.. nakurudia mkuu
Ndio maana hujapata msaada ila ukiandika vizuri watakujaSijaja kujifundisha muandiko au kuandika ili nikupendezeshe. Kama haujaelewa au huna msaada pita kushoto.
Una utoto mwingi, niliuza kupata ziada Sio lazima sana kupata msaada piaNdio maana hujapata msaada ila ukiandika vizuri watakuja