Basi sawaJe unataka kupokea taarifa za nafasi za ajira kwenye simu yako? Tuma SMS ukiandika aina ya kazi unayohitaji mfano Uhasibu, ICT, HR, Ualimu, kwenda namba 0752881000. Huduma hii haina gharama yoyote.
Nimetumiwa leo meseji, et ndugu yangu siumeona mwenyewe dawa ya biashala niliyokupa yan haijahitaji hata kufanya kafara, umekuwa na magari nyumba kila mji......., nikijicheki sinavyo, jman ndio haohaoNyie ndio mnakuja kututumia msg za ovyo ovyo sijui mganga wa kazi nyota na blah blah ...