Taarifa za kutoroshwa Ulimboka ni kweli?

SIKU chache baada ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari Tanzania, Dk Steven Ulimboka (pichani), kurejea nchini akitokea Afrika Kusini kwa matibabu,

sasa hajulikani alipo
.

Taarifa kutoka kwa mmoja wa wanafamilia zinasema kuwa familia.............

Wewe ndiye hujui alipo na usiseme haijulikani alipo......
 
Dr Ulimboka kutoa sadaka za shukrani kanisani ni mahala pake kabisa maana kwenda MabwePande (lango kuu la CCM kusafirishia watu kwenda kuzimu) ni sawa na kutembelea jehanam siku tatu na kurejea katika uhai wa kawaida.

Hakika, nalipongeza hilo kwa dhati kabisa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom