Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 4,408
- 6,643
Unataka ukampige picha bibi wa taifa au?Habari wakuu.
Naomba kufahamishwa taarifa zifuatazo kuhusu Bugando Medical Center.
Wilaya iliyopo
Kata iliyopo
Mtaa iliyopo.
Asanteni!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani pale Mwanza mjini kuna wilaya mbili Nyamagana na Ilemela. Ila sina uhakika Bugando ipo wapi kati ya wilaya hizoWilaya-Mwanza city
Kata na mtaa ngoja waje nisije kukuchanganya bure.
Hapana. Nahitaji kufuatilia passport ya kusafiria. Nimeambiwa nilizaliwa Bugando mkuu enzi za vita ya Iddi Amini. Nahitaji kwenda majuu kwa mabeberuUnataka ukampige picha bibi wa taifa au?
Mega mind u nashindwa kutumia simujanja yako badala yake unatusumbua sisi! Majibu yote ungeyapata hapo ulipo.Habari wakuu.
Naomba kufahamishwa taarifa zifuatazo kuhusu Bugando Medical Center.
Wilaya iliyopo
Kata iliyopo
Mtaa iliyopo.
Asanteni!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nime Google sana sijapata clue yoyote. Najua humu kuna wenyeji wa Mwanza wanazijua hizi taarifa. Kama kuna namna yoyote unaweza kunisaidia nitashukuru sana.Mega mind u nashindwa kutumia simujanja yako badala yake unatusumbua sisi! Majibu yote ungeyapata hapo ulipo.
Wilaya nimeshaipata. Ni Nyamagana. Vipi kuhusu kata na mtaa iliyopo. Msaada tafadhali kama unafahamu nijulishe. Asante
Nyamagana ndo Mwanza City yenyewe...Kuna document nilikuwa najaza nikaambiwa nijaze Mwanza City badala ya Nyamagana...Ilemela ni Ilemela Municipal... Kama una lengo la kuitafuta ilipo basi tumia Nyamagana sababu ndo imezoeleka...Ila kama ni kujaza Official document nadhani inayotumika ni Mwanza City... Anyway subir maoni ya wadau wengine.Nadhani pale Mwanza mjini kuna wilaya mbili Nyamagana na Ilemela. Ila sina uhakika Bugando ipo wapi kati ya wilaya hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wilaya nyamagana,kata ya igogo mtaa wa bugandoWilaya nimeshaipata. Ni Nyamagana. Vipi kuhusu kata na mtaa iliyopo. Msaada tafadhali kama unafahamu nijulishe. Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kitambulisho cha uraia ulikipataje? Maana bila hicho kupata passport haiwezekani.Hapana. Nahitaji kufuatilia passport ya kusafiria. Nimeambiwa nilizaliwa Bugando mkuu enzi za vita ya Iddi Amini. Nahitaji kwenda majuu kwa mabeberu
Sent using Jamii Forums mobile app
Umekosea. Tuachie wenyeji tujibu.Wilaya Nyagamana
Nadhani Kata na Mtaa ni Bugando au Bugarika kama sijakosea
Kata ya Bugarika, mtaa wa mlimaniWilaya nimeshaipata. Ni Nyamagana. Vipi kuhusu kata na mtaa iliyopo. Msaada tafadhali kama unafahamu nijulishe. Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mkuu amesema ni kata ya Igogo. Mtaa wake Bugando. Hii imekaaje?
Kuna mkuu amesema kata ya Bugarika. Mtaa wa Mlimani. Wewe ni mwenyeji huko Bugando?Umekosea. Tuachie wenyeji tujibu.
Mtaa: Miembeni A
Kata: Pamba
Wilaya umepatia ni nyamagana
Wamebashiri, sema na wasiwasi wameingia chaka, maana wameandika nimezaliwa kata ya Bugando iliyopo wilaya ya Kwimba.Kwani kitambulisho cha uraia ulikipataje? Maana bila hicho kupata passport haiwezekani.
Yes Kata ya IgogoKuna mkuu amesema ni kata ya Igogo. Mtaa wake Bugando. Hii imekaaje?
Sent using Jamii Forums mobile app