Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,160
- 10,007
Na Raisi aliyefiwa na wananchi wake je ?Mbunge wa Ukerewe hakuwa mwakilishi wa chama, bali mfiwa aliyefiwa na wapiga kura wake.
Na Raisi aliyefiwa na wananchi wake je ?Mbunge wa Ukerewe hakuwa mwakilishi wa chama, bali mfiwa aliyefiwa na wapiga kura wake.
Si umesema wote watanzania ni wafiwa?Sasa mfiwa si anahitaj mfariji?Inakuaje huyo mfiwa ageuke mfariji?Sote tukiongozwa na Rais
Ma Opless utawapata tu ccmLabda nikusaidie kujibu kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa aliwakilishwa na watendaji wengine kama Katibu mkuu na katibu mwenezi. Halafu CCM si mtu bali ni watu, hivyo kutokwenda kwa mwenyekiti hakumaanishi kuwa CCM haijaenda. CCM si chama cha mtu mmoja hadi useme asipotokea huyo mtu basi CCM haipo. Halafu tambua pia katika tukio lile, Mwenyekiti wa CCM hakusimama kama chama, bali alisimama kama serikali. Na serikali iliwakilishwa na Waziri mkuu.
Siyo wewe uliyesema Chadema imewakilishwa na Mbunge wa Ukerewe?Mkuu, watanzania wote tumefiwa kwa tukio lile. Ndiyo maana viongozi wetu wa kitaifa walikuwepo kule. Hebu acheni ujinga wenu wa kuingiza uvyama hata kwenye masuala ya kitaifa. CCM na CHADEMA ni nothing kwa utaifa wetu.
SawaMa Opless utawapata tu ccm
Kwahiyo nani alitakiwa afariji?
Wewe si mzima. Nakwambia hoja za uchama kwenye mambo ya kitaifa ni upuuzi mkubwa. Huelewi nini hapo? Acha upofu wa kivyma unaokuziba hata kuona hoja za maana. Bure kabisa!Siyo wewe uliyesema Chadema imewakilishwa na Mbunge wa Ukerewe?
Siasa zimempofusha akili wakili.Mbunge wa Ukerewe hakuwa mwakilishi wa chama, bali mfiwa aliyefiwa na wapiga kura wake.
Kwa hiyo chama ndio serikali?Labda nikusaidie kujibu kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa aliwakilishwa na watendaji wengine kama Katibu mkuu na katibu mwenezi. Halafu CCM si mtu bali ni watu, hivyo kutokwenda kwa mwenyekiti hakumaanishi kuwa CCM haijaenda. CCM si chama cha mtu mmoja hadi useme asipotokea huyo mtu basi CCM haipo. Halafu tambua pia katika tukio lile, Mwenyekiti wa CCM hakusimama kama chama, bali alisimama kama serikali. Na serikali iliwakilishwa na Waziri mkuu.
Mkuu haya mapiga propaganda ya Lumumba wanazidiwa Helena hata na mtoto wa darasa la saba,badala ya kujibu hoja yenyewe yanakimbilia kuongelea vitu visivyo kwenye hoja hukimbilia kutajataja watu na vitu visivyo husika kwenye hoja. Utasikia oooh! Mbowe,Lowasa ,Chadema mara sijui ufisadi sijui mitihani yao shuleni walikuwa wanafanyiwa.Chadema alikuwepo mbunge na viongozi wa kanda. Tofauti ni nini? Halafu ujue kisiasa na ki nchi yaani kimataifa aliyefiwani rais siyo Mbowe. Rais ndiye baba wa taifa na mfariji mkuu. Ndiyo maana hata salam za pole kutoka nje ya nchi anatumiwa rais siyo viongozi wa upinzani. Sasa tupe jibu rais alikuwa anafanya nini Dsm wakati watoto wake kwa mamia wameangamia ziwani? Hapo nafasi ya baba ikoje? Kwanini awakilishwe? Alikuwa nje ya nchi au alikuwa anaumwa? Je ni halali kumtuma baba mdogo wakati baba mzazi upo na unaonekana eti umetoka kanisani kisha unaenda kunywa chai na traffic! Acheni unafiki wa kutetea hata vilivyo wazi.
Wakati wa tetemeko Kagera rais hakwenda kama kawaida yake. Mbowe na Lowassa walienda. Unajua kilichowatokea? Wakati wa ajali ya wanafunzi 32 Arusha hakwenda as usual. Viongozi wa upinzani wakiwemo wa CHADEMA na wa dini walikwenda kuhani. Unajua kikichowatokea? Walirudi nyumbani wakitokea Lopango! Teteeni vingine siyo hilo mlipaswa kuwa hata na aibu kutetea!
Pumbavu ulimuona Katibu mkuu wa ccm Ukara?
Helena = hojaMkuu haya mapiga propaganda ya Lumumba wanazidiwa Helena hata na mtoto wa darasa la saba,badala ya kujibu hoja yenyewe yanakimbilia kuongelea vitu visivyo kwenye hoja hukimbilia kutajataja watu na vitu visivyo husika kwenye hoja. Utasikia oooh! Mbowe,Lowasa ,Chadema mara sijui ufisadi sijui mitihani yao shuleni walikuwa wanafanyiwa.
Labda nikusaidie kujibu kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa aliwakilishwa na watendaji wengine kama Katibu mkuu na katibu mwenezi. Halafu CCM si mtu bali ni watu, hivyo kutokwenda kwa mwenyekiti hakumaanishi kuwa CCM haijaenda. CCM si chama cha mtu mmoja hadi useme asipotokea huyo mtu basi CCM haipo. Halafu tambua pia katika tukio lile, Mwenyekiti wa CCM hakusimama kama chama, bali alisimama kama serikali. Na serikali iliwakilishwa na Waziri mkuu.
Hahaha! baba yupo nyumbani. Siku za msiba anakuwa bize kusafisha chumba, msiba ukiisha anasafisha nyumba....Usishangae kusikia raisi hakudhuria misiba sababu alikiwa nje ya nchi kutafuta maendeoChadema alikuwepo mbunge na viongozi wa kanda. Tofauti ni nini? Halafu ujue kisiasa na ki nchi yaani kimataifa aliyefiwani rais siyo Mbowe. Rais ndiye baba wa taifa na mfariji mkuu. Ndiyo maana hata salam za pole kutoka nje ya nchi anatumiwa rais siyo viongozi wa upinzani. Sasa tupe jibu rais alikuwa anafanya nini Dsm wakati watoto wake kwa mamia wameangamia ziwani? Hapo nafasi ya baba ikoje? Kwanini awakilishwe? Alikuwa nje ya nchi au alikuwa anaumwa? Je ni halali kumtuma baba mdogo wakati baba mzazi upo na unaonekana eti umetoka kanisani kisha unaenda kunywa chai na traffic! Acheni unafiki wa kutetea hata vilivyo wazi.
Wakati wa tetemeko Kagera rais hakwenda kama kawaida yake. Mbowe na Lowassa walienda. Unajua kilichowatokea? Wakati wa ajali ya wanafunzi 32 Arusha hakwenda as usual. Viongozi wa upinzani wakiwemo wa CHADEMA na wa dini walikwenda kuhani. Unajua kikichowatokea? Walirudi nyumbani wakitokea Lopango! Teteeni vingine siyo hilo mlipaswa kuwa hata na aibu kutetea!
Kwahiyo nani alitakiwa afariji?