Taarifa ya msiba wa Mr Innocent

Poleni kwe msiba nini kilimsibu zaidi
 
Ndg mtoa taarifa, mwl. Innocent nani? Maana kuna jamaa wawili nawafaham na wote ni inno na ni walimu japo sahivi siwezi kujua wako shuleni gani maana kuhamahama ni kawaida looking for green pasture. Otherwise R.I.P Inno.
 
Kwa hyo unahitaji rambirambi au?
 
Poleni wafiwa! Mungu aiweke roho ya Marehemu Inno mahala pema peponi, Amina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…