Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,850
Nimefuatilia taarifa ya habari ITV kuna kitu kimeniacha mdomo wazi.Kabla ya bunge kusitishwa live na serekali.Habari za bunge ITV walikuwa wakiripoti kwa kila kilichojiri.Yani kama mbunge akiomba mwongozo tuliona,Na spika akijibu mwongozo huo tuliona pia.
Leo taarifa ya habari wanaelezea tu bila wahusika kusikika,Nimejiuliza ni uoga?
Ni stail mpya ya urushaji wa habari? Au hata taarifa ya habari kuhusu bunge haitakiwi kuonyesha miongozo na majibu yake?
Kama inaruhusiwa ITV jirekebisheni taarifa ya habari za bunge hamzitendei haki.