Taarifa ya habar TBC hovyo kabisa

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
10,526
13,015
Tangu 2015 sijawahi kuangalia taarifa ya habar tbc. leo nilikuwa nyumbani ikabidi niangalie.ni baada ya king'amuzi kuisha mchana.ni upuuzi mtupu.
imejaa siasa . mara mwenge.mara katibu wa ccm mara ujinga .
Habari za kimataifa zimekopiwa kama zilivyo toka Aljazeera hata maandishi ya aljazeera yanaonekana.yan na msomaji anasoma kama anaimba hakuna hata ku ongeza kidogo ili wasiofuatilia vituo vya nje.
Meneja wa tv jitafakari, weledi unaonesha ni wa chini sana hata kama mnatumikia siasa lakini mmepitiliza
 
Ulitaka watoe taarifa za kushusha bendera za chadema?, Ripoti ya CAG? au ripoti ya IMF?
 
Ulipata wapi ujasiri wa kuangalia TBC ? una roho ngumu sana !
 
Shida baadhi yao ni incompetent. Hawajiandai. Yaani wanaboa mno
 
Hiyo TV ya chama hata habari za ndani za wananchi wasio wana siasa hakuna
 
Mkuu mleta mada hayo yanayokusibu ya kuishiwa king'amuzi na mimi yananisibu.

TBC kwa kweli inaboa sana, siku nyingine wanaonyesha harusi za watu, watu wanatongozana mpaka wanafikia uamuzi wa kufunga ndoa hawatuhusishi lakini eti siku ya sherehe yao ndio tunahusishwa!!.

TBC inaboa, wanarudi vipindi vile vile vya mahojiano, yaani taabu kwa kwenda mbele.
 
Mi nashauri tu bora hiyo tbc nayo wazime kupunguza matumizi kama walivyozima bunge live inasikitisha sana lichanel la hovyo kama hili lipo hewani alafu bungelive no
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…