Taarifa ya CCM

Kidumu chama cha mapinduzi. Kazi iendelee.

Acha kudhalilisha jina la makao makuu ya Wilaya tukufu,CCM hawajafanya lolote huko so acha unafiki,Katesh hapakutakiwa kuwe vile pamoja na waziri mkuu kutoka huko,utajifunza lini ww,Comeon Serukamba ww
 

Vatican haijawahi kuwa na ubalozi na nchi yoyote duniani? Hapa Tanzania kuna ubalozi wa Holy See.
 
Naona hoja zenye tabia za ujinga na utoto....Lwakatare kuzungumziwa bungeni,yeye anaweza kuja kujibu bungeni?
Na Mwigulu alivyomtaja Dr.Slaa bungeni????
CCM na Katiba mpya wapi na wapi...kumbuka Kauli ya Mwanasheria mkuu na Celina Kombani kuhusu katiba mpya...
Mwisho tunaomba mtafute jinsi nyingine ya kumtetea Kinana...lakini hii imefeli!
Hivi kauli ya LIWALO NA LIWE wewe unaiona ni kauli nzuri kuwahi kutokea nchini tena kutoka kwa waziri mkuu?
 
ha ha ha ccm hao wanatapa tapa sana na bado
Shigela anakula bata india mara china mara zanzibar na mademu
 
Ndugu zangu, msiwasaidie waacheni Chama Cha Majangiri(CCM) wajifie wenyewe. Vyama vyote vilivyon'golewa madarakani ni lazima vipitie hali inayopita ccm mf. Ufisadi,viongozi dhaifu kama jk,mkpp,tyson walopokaji kama Nape, Mwigulu, Kigwangala, Anna Abdallah etc. Many ruling parties passed that stage before their falls. In Ghana, Kenya,Zambia etc. Go back and read thear histories, they did exactly the same things (like ccm). Waacheni wajifie. Nape ni mpuuzi sana.
 

Hii makitu gani?! Nyie mafisadi kuweni "sirias" bwana! yaani ndio mmeamua kufa kifudifudi, nani atajua kuwa tayari mmekata roho!? galambukeni.....
 
huyu atakua nape nauye. taarifa kama hii angeandika kwenye wall yake fb sio jf. eti kutishia nyau tuseme ccm ni nyau?. mia
 
Tunawasihi watanzania wote wapuuze utoto na ukibaraka huu wa Chadema kwani ugonjwa wao tumesha ufahamu WANAUMWA KIFAFA CHA SIASA. Kila ugonjwa huu ukipanda wanatupa mateke sana. Tuwaombee ipo siku huenda mwenyezi Mungu atawarehemu watapona.

Mtu mwenye akili za kawaida hawezi kuweka sehemu ya taarifa utumbo wa namna hii!
 
Nani mwandishi hasa wa 'mipasho' hii? Hii nayo ni taarifa kweli? Jamani,kweli kuongoza Tanzania ni rahisi sana!!!
Mkuu mimi nimekerwa na Matusi, naomba mods kwa threads zitakzokuwa na matusi msiruhusu zijadiliwe hasa hizi ambazo mtu mmoja anaandika kwa mwamvuli wa chama kwani anaharibu taswira ya taasisi nzima! nina mashaka na weledi wa huyu security guard katika masuala ya siasa! Na hao CCM wanaruhusu vipi watu kama hawa kukisemea chama chao?
 
Last edited by a moderator:
Hapa naona jazba tu na ujibuji hoja ki-taarabutaarabu tu. Tamko la chama litakaaje kimipashomipasho hivi jamani! mbona CCM kuna hazina kubwa sana ya wasomi kwanini wasipewe nafasi??????? rubbish! Nachukizwa sana na haibu hizi kwa chama kongwe. kha! haya yanatoka wapi?
 
we mjinga mbona unakuja na ID ya kujificha kisha unaandika upuku hapa hakuna atakaye vumilia ujinga huu,CCM ndio nguruwe wanaotutafuna watanzania,majizi yote ya rasilimali za nchi hii yako huko ccm,stay tuned the time is coming......tazama sasa watanzania tunachukiana kwasababu ya upumbavu wenu bado mnataka kuendelea kuongoza,haki MUNGU ikitokea ,mtatulazimisha kuingia msituni kupisha huu ujinga.
 
CHADEMA kuwafundisha wa TZ namna ya kudai haki yao imekuwa Nguruwe? hivi CCM walivyo ifilisi nchi kwa ufisadi mbalimbali kama richmond,meremeta.tangold,kuibiwa kwa twiga na tembo,kupora ardhi kigamboni na loliondo,EPA na kadhalika sasa CCM si NGURUWE?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…