Taarifa ya Baraza la CHADEMA mkoa wa Singida kwa Umma

Taarifa ya Baraza la CHADEMA mkoa wa Singida kwa Umma

Hawa chadema laana yao ni pama sana mwaka huu madhambi waliyofanya hayana msamaha kwa mungu hata waroge.

hamana jipya ambalo wamekuja nalo zaidi ya kutaja CCM. Wanatapatapa baada ya jana na leo asubuhi kupashwa sana mitandaoni.
 
Hivi hakuna sheria hawa kina Zitto/Kitila ACT & Co washtakiwe kwa kutumia majina ya watu kuwachafua kwa jambo ambalo hawakusema? Wana sheria CDM kazi kwenu mchezo huu ukiendelea ni hatari !

mgonjwa wewe hujitambui.
 
Hivi hakuna sheria ya kuwafungulia mashitaka hawa jamaa wenye njaa kali wanaojipachika vyeo ndani ya vyama vya siasa na kutoa matamko yasiyo ya kichwa wala miguu? Tukiacha hivi hivi tabia hii ya kijinga itaendelea, hili lazima lipatiwe dawa haraka.



Nafikiri wanaweza kufunguliwa mashtaka na watu waliorodhesha majina yao katika matamko yao hali wao hawakushirika katika hayo matamko.. Yaani huyo Dotto Buriani anaweza kufungua mashataka ya kuchafuliwa jina lake, kuchonganishwa na viongozi wake na nk.. Ila yatakuwa mashtaka ya madai.. (nafikiri mwenye uelewa anaweza kutufafanulia)
 
Hivi hakuna sheria hawa kina Zitto/Kitila ACT & Co washtakiwe kwa kutumia majina ya watu kuwachafua kwa jambo ambalo hawakusema? Wana sheria CDM kazi kwenu mchezo huu ukiendelea ni hatari !



Nafikiri ni wazo zuri maana sasa nona wanataka kutufanya watanzania ni wajinga....
 
Sasa shabani Lyimo mchaga.

Singida huko unafanya nin??

Teh teh teh
 
Siku zote CCM mjue kuwa ujinga wenu unapoishia ndiko uerevu wa CHADEMA unapoanzia. Yaani hapo ndo mnajiona intelejensia yenu imemaliza sio. Ushetani una mwisho lakini nawaambieni kama Mungu aishivyo hamtafanikiwa.FREEDOM IS COMING.FREEDOM IS AT OUR DOOR is just a matter of time. Watch ur back if not Ass

Jambo moja najiuliza, CCM inahusikaje na CHADEMA kupata changamoto, si vema kujitathmini madhaifu yenu ili mjirekebishe kuliko kumtafuta mchawi kusiko. Hivi mnafikiri watanzania ni wajinga mpaka waamini UDIKTETA WA MBOWE na SLAA pamoja na kukifanya chama kiwe kama chao ni kwa sababu ya CCM?
 
Wachaga wa chadema wamuombe radhi tu zitto kabwe ns kitila.

Maana sasa hali hii ni mbaya sana.
 
Jambo moja najiuliza, CCM inahusikaje na CHADEMA kupata changamoto, si vema kujitathmini madhaifu yenu ili mjirekebishe kuliko kumtafuta mchawi kusiko. Hivi mnafikiri watanzania ni wajinga mpaka waamini UDIKTETA WA MBOWE na SLAA pamoja na kukifanya chama kiwe kama chao ni kwa sababu ya CCM?

Usiwe kama kasuku. CCM ndio inaofadhili uhuni wakiitumia kampuni yao ya ACT
 
Sasa shabani Lyimo mchaga.

Singida huko unafanya nin??

Teh teh teh

Mimi naona hii taarifa kama ndiyo ya kizushi kabisa, mara iongelee CHADEMA SINGIDA, mara iongelee CHADEMA taifa, basi ni porojo porojo porojo.
 
Back
Top Bottom