Taarifa: Usalama Wangu Hatarini

Ndio inavyokuwa,kwamba mtu katika Chama anaweza kusema,kwa nini wale wanatoa maoni nje ya vikao vya Chama? Lakini hata katika vikao,watu wanaongea halafu waandishi wa habari wanaandika ili ambao hawakuhudhuria wajue jambo gani limetokea.
 
............... lengo langu limekuwa ni kujenga,sasa hawa wachache kwa mtazamo wao ni kwamba nabomoa chama (CCM) kuelekea 2015; .......................................

Wewe ni nani? Ktk JF tumekuwa tukijivunia kuwa anonymous imekuwaje wewe ukawekwa wazi? Au utawala wa JF umekusaliti?

Ndugu yangu naamini unaandika kwa niya njema na huenda kweli (sina hakika) kwamba una matatizo. Napenda nikueleze kwamba usiendelee kuamini kwamba CCM ina waharibifu wachache kama ulivyoandika. Waharibifu ktk CCM ni wengi kuliko walio wema.

Binafsi huko nyuma niliwahi kuwaandikia kwamba CCM haitaweza tena kuwa chama cha watu wema kutokana na uongozi wa ki-Cartel.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/60848-ccm-ni-kama-cali-cartel.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/60848-ccm-ni-kama-cali-cartel.html

CCM munapanga mambo mabaya, njama mbaya za kuharibu mipango ya nchi mukifahamu wazi kwamba ni uhalifu lakini munaukubali upite hivyohivyo kwa manufaa ya CCM. Pesa za nchi zinachotwa kufanyia mambo ya chama, wezi wanalindwa kwa kupewa adhabu ya kuchangia chama na mambo yao kusahaulika, nk.

CCM imeharibu elimu, imeharibu afya, imeharibu kilimo, yote haya kwa makusudi. Kilimo kwanza iko wapi? Power tiller ziko wapi? Walio na akili timamu wanaweza kuanzisha program ya kitaifa inayoisha kwa mwaka mmoja kama hiyo ya Kilimo kwanza? Unaweza ukawauzia wananchi maskini power tiller kwa Millioni 9 badala ya 4 kama ilivyostahili. Chama kiliona na kuacha zipatikane pesa za kampeni, eti!

Imani yangu ni kwamba CCM ilipo ni kwenyehatua ya wapuuzi kusimamia uchaguzi wa chama na uongozi wa chama na nchi. Bora utumie mbinu za cartel ukiwa na elimu tatizo huko CCM unakokaribisha vijana na hasa waliosoma elimu hakuna! Nani msomi anayetumia usomi na kusikilizwa huko CCM?
 

Sidhani hate Sikh moja Kama unauhusiano Wowote na ccm , wewe ni Askari wa kukodishwa . Genuine tuone Kama wanna cdm watakutukana au watakushangilia. You r just blasting ccm for CDM s benefit.
 
i wish wote wanojiita ''wanasiasi'' wangekuwa na mtazamo kama wako.!
pole sana kaka, tuko pamoja tunakuombea
one luv..
 
nimependa dhamira though hujakemea siasa uchwara za nape na mwigulu zinazowagawa watz kiimani, kikabila na kikanda waache kwani zitagawa nchi yetu hata kama kuna mwanachadema anafanya hivyo aache kwa manufaa ya taifa letu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…