Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,904
- 7,746
Hii ni moja ya pole hizo.
Pascal
Mkuu pole sana. Naomba nikukumbushe uwe makini, ID hii huwa haichangii sana so usije ukajisahau ukadhani unatumia ID ileeeeee....utaharibu! Manake kuna siku ulijisahau ulitumia ID hii mwishoni ukamalizia na 'PASKO' ile ya kizungu.
Masai Dada, kwa sisi wa pande zile kula ninakotoka, usiwe na wasiwasi wa kukaimu, karibu tujumuike wote, wengine hatuna mwisho!, na kama ni kweli wewe ni binti wa Kimasai, then utakuwa hauna wivu, hivyo unaweza kujumuika na wenzio na amani ikawepo!, tuwasiliane kwa PM kwa ajili ya utekelezaji!.nimekuja fasta nikajua KUNA NAFASI ZIMETOKA ZA KUKAIMU KITI
Mkuu Molembe, wote wawili ni members wa jf, na wote ni wana habari, tofouti kubwa kati yetu mimi ni verified member, na ni mwandishi wa habari wa kiukweli kweli, nikiripoti habari za kweli tuu na kwenye media rasmi, yule Pasco wa jf, na yeye ni mwandishi ila anaripotia jf tuu, sometimes huweza kuleta habari za kubuni, kutunga na hata habari za hisia tuu!.Kuna uhusiano gani kati ya paschal mayalla na Pasco wa jf.
Haa haaa haaaaa!! Mkuu hata muda haujapita tangu mh.mzito kabwela akupe onyo naona umeteleza!!! Haa haa pole mkuuMasai Dada, kwa sisi wa pande zile kula ninakotoka, usiwe na wasiwasi wa kukaimu, karibu tujumuike wote, wengine hatuna mwisho!, na kama ni kweli wewe night binti wa Kimasai, then utakuwa hauna wivu, hivyo unaweza kujumuika na wenzio na amani ikawepo!, tuwasiliane kwa PM kwa ajili ya utekelezaji!.
Pasco
Masai Dada, kwa sisi wa pande zile kula ninakotoka, usiwe na wasiwasi wa kukaimu, karibu tujumuike wote, wengine hatuna mwisho!, na kama ni kweli wewe ni binti wa Kimasai, then utakuwa hauna wivu, hivyo unaweza kujumuika na wenzio na amani ikawepo!, tuwasiliane kwa PM kwa ajili ya utekelezaji!.
Pascal
Unavyofanya sio haki, yaani unani quote mimi Pascal na mwisho unabadili jina langu na kuweka la Pasco!, it is not fair!.Haa haaa haaaaa!! Mkuu hata muda haujapita tangu mh.mzito kabwela akupe onyo naona umeteleza!!! Haa haa pole mkuu
Haa haaa haaaaa!! Mkuu hata muda haujapita tangu mh.mzito kabwela akupe onyo naona umeteleza!!! Haa haa pole mkuu
Hii ni moja ya pole hizo.
Pascal
Labda walikuwa wanakupa pole ya yule mkeo Mwandishi wa habari aliyekukimbia na kwenda Marekani.Wanabodi,
Leo asubuhi, nimeamshwa na simu za pole!,
Kisa chenyewe ni hiki!.
Ni majina tuu yamefanana!.
Nawaombeni wote walionipigia simu za pole, wish me and my lovely wife, a long life!
Nampa pole wajina!.
Pascal
Mkuu Molembe, wote wawili ni members wa jf, na wote ni wana habari, tofouti kubwa kati yetu mimi ni verified member, na ni mwandishi wa habari wa kiukweli kweli, nikiripoti habari za kweli tuu na kwenye media rasmi, yule Pasco wa jf, na yeye ni mwandishi ila anaripotia jf tuu, sometimes huweza kuleta habari za kubuni, kutunga na hata habari za hisia tuu!.
Uhusiano wa ziada ni tunafahamiana, tunashabihiana, na hata majina tunafanana, hivyo wengi kujikuta wakitufananisha!, ila kiukweli kabisa sisi ni watu wawili tofauti kama tulivyo mimi na yeye (me & I).
Pascal.
Mkuu Molembe, wote wawili ni members wa jf, na wote ni wana habari, tofouti kubwa kati yetu mimi ni verified member, na ni mwandishi wa habari wa kiukweli kweli, nikiripoti habari za kweli tuu na kwenye media rasmi, yule Pasco wa jf, na yeye ni mwandishi ila anaripotia jf tuu, sometimes huweza kuleta habari za kubuni, kutunga na hata habari za hisia tuu!.
Uhusiano wa ziada ni tunafahamiana, tunashabihiana, na hata majina tunafanana, hivyo wengi kujikuta wakitufananisha!, ila kiukweli kabisa sisi ni watu wawili tofauti kama tulivyo mimi na yeye (me & I).
Pascal.
Hata mimi ndio nilikuwa najiuliza mbona Pasco mayala id yake ni pasco nashindwa kuelewa huyu pashal mayalla nani tena au ndio mambo ya multiple ids.Kuna uhusiano gani kati ya paschal mayalla na Pasco wa jf.
Mkuu Karumekenge, ni kweli, wengi walidhania ni wife wa US!.Labda walikuwa wanakupa pole ya yule mkeo Mwandishi wa habari aliyekukimbia na kwenda Marekani.