Rutunga M
JF-Expert Member
- Mar 16, 2009
- 1,769
- 1,382
Samahani sana kwa kutoa hii
Tambua katika maisha kujua mbinu za wizi na husikamatwe ni ujuzi na elimu lakini kujua namna ya kuzuia wizi ni ujuzi na elimu zaidi.
Hapa chini nawaletea kuntu wizi wa kura unavyofanyika na namna ya kuuuzuia.(Utaratibu huu unatumiwa na nchi mbalimbali duniani
Zipo mbinu nyingi lakini leo nitaongelea mbinu moja nay a kipekee inayotegemewa kw asilimia 85 maana nyingine ni pata potea.
Vituo hewa vya kupigia kura.
Hivi vipo tayari katika orodha ya vituo vya kupigia kura na vina wapiga kura hewa,hata vyama nje ya kile chama chetu hawajui huu mchezo utakavyochezwa.
Kosa kubwa hapa wafuasi wa vyama wao wanaongelea suala la kulinda kura,hilo halisaidii kuzuia hii mbinu.
Kinachofanyika.
Kwa mfano kata moja ya Mwanakuja katika jimbo la Kyelwa kuna vituo 8 kati ya hivyo nane vituo 4 ni hewa vya Maganzo,Twila,Kulele na Mutwi katika jimbo la Kyelwa,Vyama vitajikita katika kuweka mawakala katika vituo 4 halali bila kujua kuwa kuna vituo vingine 4 hewa.
Hivyo vituo hewa vimepewa wasimamizi hewa,walinzi hewa,mawakala hewa nk,vitapigiwa kura ofisini na kuandika matokeo ya hivyo vituo na kutoa takwimu za wagombea wote kulingana na walivyogombea lakini hapa mlengwa ni wa chama Fulani.
Wakati wasimamizi HALISI wakirejesha matokeo ya takwimu kutoka vituo vyao kwa mkurugenzi tayari watakuta na wasimamizi FEKI wamekwisha ejesha takwimu kutoka vituo FEKI.Mkurugenzi atajumlisha.Kabla ya kupiga kura mgombea X atakuwa na kura 0 huku Y akiwa na kura 2,000 katika kata.
Kazi hii ya kupigisha kura hizi bandia itaanza kufanyika October 22-24.kabla ya kupiga kura October 25.
Namna ya kudhibiti huu Wizi.
Wawakilishi wa vyama ni kupata IDADI halisi ya vituo katika kata na kuvitambua vyote kwa majina,wakipewa orodha husika iwe imesainiwa na mkurugenzi kuwa hivyo ndo vituo halali.
Utaratibu ukibadilika nitawajuza