Mrs Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 1,002
- 2,293
Ile ni kazi kama kazi nyingine mkubwa na unakula kiapo kabisaHivi wanaofanyaga vile kuua roho za watu huwa hawajui kuwa na wao wataondoka? RIP marehem
Taarifa za vipi Sky?Kwa usalama wenu, muwe mnapost taarifa Facebook hata kama unaonekana punguani lakini itasaidia upelelezi ukipatwa na majanga.
Picha ya hiyo maiti?Ungeweka picha kurahisisha utambuzi.
Sijakuelewa mzaziKwa usalama wenu, muwe mnapost taarifa Facebook hata kama unaonekana punguani lakini itasaidia upelelezi ukipatwa na majanga.
Uko wapi. Umepanga kukutana na nani, nkTaarifa za vipi Sky?
Naomba unieleweshe kidogo.
Asante.Uko wapi. Umepanga kukutana na nani, nk
Inahuzunisha sanaUraiani watu wanauliwa sanaaaaa.
Japo matukio mengine hayatangazwi.
pale bunju darajani mpaka wa bagamoyo na dar.
Pia iliokotwa maiti
Shamba la mama mkapa pale vikawe.
Pia iliokotwa maiti.
Cha ajabu wakamzika wakasema kaharibika sanaa.
Hata bila kufanyiwa upelelezi.
Kuhusu vikawe ndio usiseme. Haiwezi pita miezi mitatu haijaokotwa maiti. Inasikitisha sana!Uraiani watu wanauliwa sanaaaaa.
Japo matukio mengine hayatangazwi.
pale bunju darajani mpaka wa bagamoyo na dar.
Pia iliokotwa maiti
Shamba la mama mkapa pale vikawe.
Pia iliokotwa maiti.
Cha ajabu wakamzika wakasema kaharibika sanaa.
Hata bila kufanyiwa upelelezi.
Uraiani watu wanauliwa sanaaaaa.
Japo matukio mengine hayatangazwi.
pale bunju darajani mpaka wa bagamoyo na dar.
Pia iliokotwa maiti
Shamba la mama mkapa pale vikawe.
Pia iliokotwa maiti.
Cha ajabu wakamzika wakasema kaharibika sanaa.
Hata bila kufanyiwa upelelezi.