Taarifa Muhimu: Rais Magufuli alishukuru Bunge

Bunge linashirikiana na rais kuficha ufisadi ulioibuliwa na CAG, bunge linakubali rais atumie pesa za umma nje ya budget iliyopitishwa na wawakilishi wa wananchi, bunge limechafuka wajibu wa kuisimamia serikali bali limekubali kusimamiwa na rais, kifupi ni bunge dhaifu kuwahi kutokea, spika dhaifu kiafya na kiakili
Ndiyo maana analishukuru sana.
 
Nami naungana na Mh. Rais kulipongeza Bunge letu tukufu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutekeleza wajibu wake kwa 100%.
Daaa nimeshangaa sana Jana kuona Bunge linaimba nyimbo zakumtukuza Magufuli..
Yaani Bunge Leo nilakusifia Rais mpaka kumuimbia na nyimbo zakumyukuza kweli!!!...
 
The hotest places in hell are reserved for those people who choose to remain neutral in times of greatest moral crisis
 
Back
Top Bottom