Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 2,209
- 4,706
Nililipia kadi Mara 2 kwa mwaka imani ilivyokuwa imepitiliza,kuzichukua zirudi mwamala unagoma.Najutia Sana kumpa Imani yangu kubwa siku za awali.
Hapo lazima Boya anaulizia kama kunachanjo ya ukimwi ili alazimishe iletwe tanzaniaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani leo Ijumaa Agosti 06, ,2021 amezungumza kwa njia ya mtandao na Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Kimataifa la Kupambana na Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria ( Global Fund) Bwana Peter Alexander Sands
Kazi iendelee
View attachment 1883219
ππΎNajutia Sana kumpa Imani yangu kubwa siku za awali.
Huyu ni dictator hana jipya
Huyu mama hana mvuto hata kidogo ! amechuja utadhani vitenge vya mawingu vya miaka ya 80Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani leo Ijumaa Agosti 06, ,2021 amezungumza kwa njia ya mtandao na Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Kimataifa la Kupambana na Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria ( Global Fund) Bwana Peter Alexander Sands
Kazi iendelee
View attachment 1883219