Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Habari za mchana waheshimiwa viongozi, naomba yeyote mwenye kuhitaji msaada kutoka ofisi ya Katibu Mkuu BAVICHA Taifa,juu ya maswala yeyote ya CHASO anipigie Mimi Edward Simbeye.
Kumetokea sintofahamu na upotoshwaji mkubwa wa taarifa juu ya msaada wa ofisi yetu ,tafadhali namba yangu ni 0675342599 nipigie.
Vyuo vinavyo Fanya uchaguzi ofisi yetu ipo tayari kutoa Mabango na Posters kwaajili ya kuwa saidia Wagombe wetu washinde,na pale inapohitajika nguvu zaidi ili kushinda tujulishane haraka niwaongezee nguvu kwa viongozi waliopo karibu yenu au Mimi mwenyewe nitafika eneo la tukio.
Naomba viongozi wangu wa BAVICHA popote mlipo,huu ni wakati wa chaguzi za vyuo vikuu ingieni kwa Miguu miwili,kuwasidia na kuwapa nguvu Vijana wenzetu wa CHASO kushinda chaguzi zao.
Hili sio ombi ni wajibu na majukumu yako ya kazi katika eneo lako la kiutawala,kwa msaada wowote tafadhali tuwasiliane.
Naomba kuwasilisha
Edward Simbeye
Katibu Mwenezi BAVICHA Taifa.