madogo tulieni,acheni mawenge,kama una sifa chuo utapata tu hata 2nd round,mbona sisi mwaka jana waliyatoa kuanzia sept.17? Acheni haraka watu wafanye kaz kwa makini.

Naamini hata na ww mwaka jana ulilalamika kuchelewa kufunguliwa kwa vyuo sababu ya uchaguzi, isitoshe matokeo yalitoka Sept 17 lakini chuo mkafungua kuanzia nov 5 sasa ss matokeo sept chuo sept-oct kweli hii ni sawa mwanafunzi na mzazi hana muda wa kujiandaa na direct cost....
Hebu kuwa mawazo chana kaka.....
madogo tulieni,acheni mawenge,kama una sifa chuo utapata tu hata 2nd round,mbona sisi mwaka jana waliyatoa kuanzia sept.17? Acheni haraka watu wafanye kaz kwa makini.
Ninyi ndo mnaochangia kuludisha nyuma maendeleo kwa kuunga mkono mambo ya kipuuzi,muda waliotumia mpaka sasa ni mlefu sana hiyo siyo sensa ya Taifa,pia walengwa yapaswa wapewe muda wa kutosha kwa maandalizi na kama si wazembe basi ule ujinga wa siasa yao ya ccm ya uchakachuaji,ubabaishaji ili mladi liende ndo inayoendelea hivyo nakushauli wewe ubadilike kwani hizo zama zinatoweka.