Taarifa:Kwa wanaohitaji Samaki.SATO...SATO...SATO

WABHEJASANA

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2011
Posts
4,225
Reaction score
869
Wakuu habari za mchana wa leo?!

Mimi ni mfugaji wa samaki na hatua waliyofikia sasa ni kuliwa,kwa wanaohitaji Tafadhali wani-PM kwa ajili ya mawasiliano zaidi.


Lakini pia nakaribisha ushauri na hasa maoko kwa ajili ya kuwasambaza ama mashirika na taasisi zitakazohitaji.

Hapa wakti nikiwapatia chakula.



Hapa wakiendelea kuburudika.



 
Karibuni sana.
Kwanza tuambie uko wapi, kilo moja ni shillingi ngapi, na kama mtu yupo mbali na sehemu uliyopo anawapataje. Na mwisho, tueleze ni kwa nini tununue kwako na si kwa wachuuzi wengine wa sato . Karibu
 
Ongera sana kwa kubuni mradi ambao ni vigumu watu wengi kuiga.Weka bei na sehemu ambazo unaweza kuzisambaza.
 
Ungetueleza upo wapi na hilo bwawa la samaki lipo wapi nipate kuja bwawani kupata sato wanaopumua
 

Hari ya muda huu,ninahitaji vifaranga je naweza kupata?
 
haya mkuu tuambie ulipo ili nimwambie mama anitume nije nimchukulie.
 
Mbona sioni samaki kwenye hizo picha,au ni macho yangu ndio yananidanganya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…