Taarifa kwa Umma kutoka TCRA

Nineangalia tangazo nikifikiri watatoa kigezo cha umri, naona wanazunguka mbuyu tu.
Umri ni miaka 18 - 24.... Nadhan wangesema tu ni baraza la wawakilishi la watoto. Kwa bongo huo umri vijana wengi bado utoto hujakwisha kichwani.
 
Umri ni miaka 18 - 24.... Nadhan wangesema tu ni baraza la wawakilishi la watoto. Kwa bongo huo umri vijana wengi bado utoto hujakwisha kichwani.
Dah. Thanks.

Kwa hiyo 25 si kijana tena?
 
According to Nape.... Miaka 25 unatakiwa uwe na wajukuu kabisa
Sasa hapo maana yake umepata mtoto ukiwa na miaka 12 na mtoto wako kapata mtoto akiwa na miaka 12 naye?

Mnafyatua tu.
 
Daah nilijua Taarifa ya StarLink kupewa kibali ili hawa wahuni tuwakimbie...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…