Je hii ni sawa? yeyote mwenye hiyo sheria iliyotumika kusetisha fao la kujitoa airushe hapa JF pliz
TAARIFA KWA UMMAMamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), inapenda kutoa ufafanuzi juu ya mafao ya kujitoa. Ufanunuzi huu unakwenda sambamba na taarifa mbalimbali ambazo .................................
KUHUSU KUSITISHWA KWA FAO LA KUJITOA
SSRA-Makao Makuu
Je hii ni sawa? yeyote mwenye hiyo sheria iliyotumika kusetisha fao la kujitoa airushe hapa JF pliz
TAARIFA KWA UMMA
KUHUSU KUSITISHWA KWA FAO LA KUJITOA
- Mamlaka inakanusha vikali kwamba, sitisho la fao la kujitoa si kwa sababu za Kiserikali au kwa sababu Mifuko imefilisika. Tunapenda kuwahakikishia kwamba Mifuko yote ipo thabiti na michango yote ya Wanachama ipo salama.
- Hivyo, Mamlaka inawaomba Wanachama na Wadau wote wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii kuwa na utulivu wakati mchakato huu ukiendelea kwa lengo la kulinda na kutetea maslahi ya Mwanachama.
- Imetolewa na kitengo cha Mawasiliano na Uhamasishaji.
- SSRA-Makao Makuu
hapa ndio unaweza kujua hii nchi ni ya kuongozwa ma mmatukio kwa kiasi gani, kila kitu ni kusikilizia tu na ku-assume kuwa 'ni upepo tu utapita'.wanazidi kutoa matamko ya kutukandamiza kwa sababu hadi sasa hatujachukua hatua yeyote ya kuwastua zaidi tu ya kulalalmika ovyo.
Hao wameanzisha SSRA ya kipuuuzi kabisa wameshindwa kubuni jinsi gani kupata pesa za kuchezea wanasiasa,yaani mimi wasiniambie lolote!!
Cha msingi watanzania ni kuacha kuchangia hayo yanajiita NSSF, PPF, LAPF na mengine yote
Wengine humu waoga mkuu tutafutane washikaji kama mia hivi tukawapetimbwili pale makao makuu hili suala serikali inatutania kabisa yaani mkuu haliwezekani iache kucheza na pesa zetu kabisa.
Huo utetezi bado haujaniingia akilini.... Yani niache kazi au nifukuzwe kazi afu nisubirie mafao yangu baada ya kuzeeka? Kipindi chote kingine ntaishi vipi? Si afadhali nipewe kabisa ili niizungushe mwenyewe kibiashara? Kuna umuhimu wa kuikataa hiyo sheria
Hawa watu hawako serious kabisa.........hata website yao imejaa mapicha ya IRENE as if ni FACEBOOK
Informing media houses during a press conference held at SSRA Board Room the Director General Ms. Irene Isaka informed journalists that as per Section No.5d of the SSRAAct, one of the roles and functions of the Authority is to protect and safeguard the interests of members, while making sure that all social security schemes are strong and sustainable. The guideline addresses the immediate and some of the intermediate actions that are needed to improve the governance of investments and investments returns said the Director General.