Taarifa kutoka Uhamiaji


safi sana mahasimu ya dr.chami yasikusumbue timiza wajibu.
 
Kwa kashfa hii ya uhamiaji hata kamishna anastahiki kujiachisha kazi mwenyewe. ?.
 
Kwani ni idara gani ya serikali hawapeani kazi kindugu? Mbona hii IPO wazi hata kwenye siasa ukianzia kule kule jumba jeupe? Nani wa kumfunga paka kengele?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…