Hapa hakunaga hoja, ila wanataka kulazimisha hoja. Kwa kifupi hiyo mitakataka mtaendelea kula waroho.
Mbona mimi sionagi bucha ya hizo nyama??? Napita barabarani sikuwahi kuona hata bucha lao lipoje unaposema imeadimika kwa kipimo kipi?? Mbona tunaona mabicha ya nyama za ng'ombe, mbuzi, samaki hapa nilipo mpaka nikifika kituoni barbarani kulia na kushoto kuna zaidi ya bucha 10 za nyama halali.
Sasa mnaosemaga hiyo haram imeadimika mnatumia kigezo gani??? Sawaswa na mtu aniambie bange imeadimika wakati sikuwahi ona duka linalouza bange