Nche
Habarini!
Naomba Kujua Natakiwa kufanya nini kwasababu cheti cha O-Level na Transcript kutoka Nacte Majina Hayafanani Kile Cha Nacte Kimekosewa Nikifanya Application Inakataa nini natakiwa kufanya ili niweze kufanya application? Ukizingatia na muda wa kufanya maombi unaisha?
Msaada Tafadhari