Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903
Mstahiki meya wa manispaa ya Kinondoni, mh. Boniface Jacob kesho jumatano tarehe 20/04/2016 saa 3:30 asubuhi katika ukumbi wa mikutano wa manispaa atasaini mkataba na mshauri mwelekezi (consultant) atakayetoa huduma ya usimamizi wa ujenzi wa miundombinu ya miradi ya DMDP (Dar es salaam Metropolitan Development Project) mradi utakao gharimu kiasi cha shillingi bilioni 50, kwa manispaa ya Kinondoni, ukihusisha jumla ya barabara za lami 13, na ujenzi wa sakafu na kingo za mto ng'ombe, ndani ya manispaa ya Kinondoni.
Wote mnakalibishwa kushuhudia.
Imetolewa
Na afisa habari na mahusiano
Manispaa ya kinondoni
Sebastian mhowera
Wote mnakalibishwa kushuhudia.
Imetolewa
Na afisa habari na mahusiano
Manispaa ya kinondoni
Sebastian mhowera