tajirijasiri
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,863
- 3,851
Taa za kuongozea Magari kwenye makutano ya barabara Ubungo Dar haziwaki na Magari yanajiendea tanavyotaka. Hata traffic wa kuongoza Magari nao hawapo.
Nimepita hapo jana usiku (24th December 2015) na leo asubuhi (25th December 2015) nimeshuhudia kwa macho yangu mwenyewe taa zimezima na madereva wanapita kwa mtindo wa anayewahi bila hata traffic kuwepo
Hii ni hatari sana hasa kwa kipindi hiki cha sikukuu ambapo tunaaminishwa na Jeshi kuwa wanaimarisha Ulinzi na Usalama.
Basi hawana budi kuzingatia Usalama wa pale Ubungo pia.
Nawasilisha.