Luxe Light Craft
Member
- Feb 23, 2026
- 14
- 4
Anzisha nawewe biashara Uuze, si lazima wote tufananeHivi nyinyi ni nani anawafundisha marketing? Unaweka picha bila details zozote. MnaIdiwa hata na malaya wanaojiuza Telegram, wanaweza bei, contacts na huduma mbalimbali wanazotoa

Huwezi kujua kila kitu, vingine tunawaachia wenye utaalamu navyo!Aisee, huo urefu kati ya meza na taa ni kituko
Wateja wanajua wanahitaji nini. Wengi wao wanahitaji kuona sample tu basi. Maelezo atayapata DmWeka biashara yenye maelezo yanayojitoshereza.
Ficha upumbavu wakoAnzisha nawewe biashara Uuze, si lazima wote tufanane
Onesha uerevu wako ndugu mjuaji. Mimi niko hapa najichanga!Ficha upumbavu wako
Fanya hivi, zima hiyo taa inayozimulikia hizo taa ili tuone Mwanga halisi wa hizo taa
Biashara lazima iende hakuna namma!Kumekucha 😹😹
Hizi mteja akitaka elimu tunampatia kwa kina kabisa, anaona sample na jinsi zinavyowakaFanya hivi, zima hiyo taa inayozimulikia hizo taa ili tuone Mwanga halisi wa hizo taa