Tofauti ya taa hizi na taa nyingne za solar ni ninini hadi iuzwe bei hiyo? Maana taa nyingine za solar bei yake ni kati ya Tshs 15,000 - 20,000
Kiongozi, mimi wa mkoani nitazipataje nipo Kigoma!Nitumie PM Mkuu. Bei ni Tshs. 30,000.
Kwa yule ambaye anahitaji hizi taa na anaishi Dar es salaam anitumie PM.
Tofauti ya kwanza ni ubora wake. kama ulinisoma vizuri nimeandika kwamba hii taa inawaka kwa SIKU 5 ndio inazimika. Nimeifanyia majaribia mimi mwenyewe nikalinganisha na zingine zinazowaka kwa MASAA MATATU au MANNE tu. Kuwaka kwa muda mrefu wa taa hii ni ubunifu mpya ulio na haki miliki kutoka Holland, ubunifu ambao humo kwenye taa kuna chip maalum. Mimi binafsi natumia taa hiyo.
Kwa yule ambaye anahitaji hizi taa na anaishi Dar es salaam anitumie PM.
Nahitaji pasi zinazotumia solar nawezaje kupata mkuu